flamini
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 533
- 584
Familia ya aliyekuwa kiongozi wa waasi nchini Angola Jonas Savimbi imewashtaki watengezeji wa filamu ya Call of Duty kuhusu vile ilivyomuangazia katika mchezo huo wa video.
Watoto 3 wa Savimbi wanamtuhumu Activision Blizzard kwa kumuonyesha kama mtu 'mshenzi'.
Wanataka kulipwa dola milioni 1.1 kama malipo ya kumuaharibia jina baba yao. Hatahivyo Activision anasema kuwa kanda hiyo ni ''nzuri''.
Savimbi ndio mwanzilishi wa Vuguvu la Unita,lililotekeleza vita vya muda mrefu na serikali ya Angola.
Angola ilibadilika na kuwa taifa la vita baridi ,Vuguvugu hilo likiungwa mkono na Marekani pamoja na serikali ya ubaguzi wa rangi ya Afrika Kusini huku chama tawala cha Angola kikiungwa mkono na muungano wa Sovieti pamoja na serikali ya Cuba.
Kiongozi huyo wa waasi baadaye aliuawa katika vita na majeshi ya serikali mwaka 2002.

Chanzo: AllAfrica.ComThe family of the late Angolan rebel leader Jonas Savimbi took the makers of the best-selling video game Call of Duty to court in France on Wednesday, claiming that it libels their father by portraying him as a "babarian".
Savimbi's son, Cheya, complains that he is often recognised in the street at the character who leads his troops into battle shouting bloodthirsty slogans.
"Seeing him kill people, cutting someone's arm off ... that's not like Papa," 42-year-old Cheya Savimbi said ahead of the hearing in Nanterre, near Paris.
He and two of his siblings are asking for 100 million euros in damages from the French branch of Activision Blizzard, which makes Call of Duty, last year's best-selling video game worldwide.
But they insist that their suit is not for the money but to defend their father's reputation.
Call of Duty
Savimbi led Unita, a Maoist-inspired guerrilla movement that fought Portuguese colonialism in Angola alongside the MPLA, which is now the ruling party.
After independence in 1975 he launched a 27-year-long civil war against the MPLA government.
With the Cold War at its height, the Soviet Union and Cuba provided political and military support to the MPLA and the US and apartheid South Africa did the same for Unita.
Savimbi, who was known to terrorise civilian politicians and was one of the first rebel leaders to finance his movement with "blood diamonds", was killed in battle in 2002 and his movement ended the fighting soon after.
Call of Duty's Black Ops II, released in 2012, portrays Savimbi on the back of a tank rallying his troops with cries of "Fight, my brothers!" and "We must finish them - death to the MPLA!".
But he is on the side of a certain Frank Woods, whom the player must free and who at one point declares, "Our dog in the fight was a guy named Jonas Savimbi."
Activision Blizzard's lawyer claims that Savimbi is seen in a "rather favourable light" as a "good guy who comes to help the heroes".
The family's lawyer Carole Enfert do not agree.
Savimbi may have been a warlord but he was also "an important player in the Cold War", she said, claiming that he was a friend of Nelson Mandela and was defended "by the great men of this world", for example then US president Ronald Reagan.
The case has been covered by media in Angola, and the game has angered Unita, which is now the main opposition party.
Call of Duty, which has sold 250 million copies since it was first made in 2003, has already featured former Cuban president Fidel Castro, former US president John Kennedy and deposed Panamanian lader Manuel Noriega.
A US court rejected a suit for identity theft and diffamation brought by Noriega in 2014.