kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,341
- 12,045
Matibabu ya 5m per day $2200 I doubt its over exagulated kwani iko kwenye life supporting muchine, wasema ukweli kwamba msada unahitajika sio kusingizia gharama kubwa kiasi hichoKabisa..5 millions per day!!! Parefu sana. Ruge ana stahili sapoti ya wananchi. Allah amfanyie wepesi
Ruge ni muajiriwa tu wa Clouds Media Group wala hana sharesila dunia ya ajab sana ruge tajiri anaomba msaada.
hivi anatengeneza bei gani kila siku escape one tu, au tht, au tatu mzuka , au share zake clouds..
huyu jamaa mbona ana vyanzo vingi vya pesa sana..
Mbona ujachangia?Mungu awape nguvu familia ya Professor Mutahaba.
Wanamfanyia dilalicis nini!Tiba za Figo ni Gharama sana hata kama una fedha zimejaa kwenye chumba zitaisha!! Changia ulicho nacho mkuu!!
Ruge ni muajiriwa tu wa Clouds Media Group wala hana shares
Kaka Kumchangia mtu ni kuonyesha upendo, Kwa aliyofanyia tasnia ya kizazi cha bongo fleva ndio maana nimetoa wazo la tamasha haimaanishi kwamba Ruge amekosa matibabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania sijui mna matatizo gani....Napenda kutoa pole kwa ndugu,jamaa na marafiki wa ruge mutahaba kwa kipindi kigumu wanacho kipitia....
Nimeshangaa kuona familia ya ruge imeanza kuomba misaada kwaajili ya matibabu ya ruge
Nashindwa kuamini kua CLOUDS wameshindwa kuendelea kulisimamia tatizo la ruge
Ikumbukwe RUGE ni mmoja wa wamiliki wa clouds media
MUNGU SIMAMA NA RUGE
Kama nani ambaye hajapita kwenye mikono/redio anayoisimamia!!??Amekifanyia nini Hicho Kizazi Kama Wanao Hit Wote sasahivi Hawajatoka Kwake? Msiwe manajumuisha Mambo Yule alikuwa mfanya biashara kwa Wakati ule