Familia ya Ruge Mutahaba imeanza kuomba misaada kwaajili ya matibabu yake

Kama wewe ni mpenda sanaa na ubunifu basi saidia matibabu ya mwanamapinduzi na mtu aliyesaidia sana kuleta mabadiliko kwenye sekta ya ubunifu na sanaa.

Pamoja na mapungufu yake lakini kila mmoja anatambua mchango wa Ruge kwenye sekta ya sanaa na ubunifu.

Tafadhari tuungane kumuinua tena.

Unaweza kuchangia kupitia namba za mdogo wake kwenye screenshot.
IMG_20190218_224008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu haipo sawa, nchi nzima saaivi kila mtu anaomba. ........ gharama za matibabu SA zipo juu sana....
Kwa mtu WA calibre ya Ruge kuomba Masada wa matibabu sidhani kama imekaa sawa hii....
India with your 100M unapata donor, na treatment. ..... pengine waseme shida ni kubwa kuliko inavotajwa. ....
Taifa letu limejaa watu we nye roho mbaya na wanafiki sana. ....
Tuwe na akiba ya maneno duniani hapa. ....
 
Tiba za Figo ni Gharama sana hata kama una fedha zimejaa kwenye chumba zitaisha!! Changia ulicho nacho mkuu!!
Wanamfanyia dilalicis nini!
Nlikutana na mzee mmoja alikuwa anafanyiwa pale opposite na tmj hospital alinambia ilibidi auze jumba lake ili apate fedha ajitibu..na hajui matibabu hyo yataisha lini?

Ova


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruge ni mtu wa watu na anaejitolea sana ili wengine wafanikiwe! Japokuwa sikubaliani nae kwa baadhi ya mambo ila kwa ujumla Ruge ni mmoja kati ya watu ambao ulimwengu unahitaji sana uwepo wao! Sijajua ni kwann wanafamilia wanaomba mchango wa fedha peke yake ila kama wangesema wanataka mtu wa kutoa figo mie ningejitolea tena bure kabisa iwapo ntakidhi vigezo vinavyohitajika kiafya!
Mungu ni mwema sana na kupitia kwako Ruge tumejifunza mengi sana kupitia kwako na kwa hili pia tunajifunza mengi mno!!
Be blessed bra, Never ever give up and keep on fighting till ya last drope!
Rudi ukiwa mzima na usimame imara kuliko mwanzo na hili linawezekana kwake yeye alie juu!! Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Kumchangia mtu ni kuonyesha upendo, Kwa aliyofanyia tasnia ya kizazi cha bongo fleva ndio maana nimetoa wazo la tamasha haimaanishi kwamba Ruge amekosa matibabu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Amekifanyia nini Hicho Kizazi Kama Wanao Hit Wote sasahivi Hawajatoka Kwake? Msiwe manajumuisha Mambo Yule alikuwa mfanya biashara kwa Wakati ule
 
Napenda kutoa pole kwa ndugu,jamaa na marafiki wa ruge mutahaba kwa kipindi kigumu wanacho kipitia....

Nimeshangaa kuona familia ya ruge imeanza kuomba misaada kwaajili ya matibabu ya ruge

Nashindwa kuamini kua CLOUDS wameshindwa kuendelea kulisimamia tatizo la ruge

Ikumbukwe RUGE ni mmoja wa wamiliki wa clouds media


MUNGU SIMAMA NA RUGE
Watanzania sijui mna matatizo gani....
Maujinga ujinga tuu ndo jadi yenu, no fikra no mawazo huru!

Nyinyi nyinyi juzi kati hapa mkawa mnawatuhumu clouds kwa nini hawataki kutoa taarifa za kuumwa kwa ruge ili watanzania mwombee sijui wanaoguswa waweze kufanya chochote!
Leo wamefanya mlichokitaka kwa muda mrefu mnasema tena eti familia imekuwa ombaomba!

Sasa sijui wewe raha yako nini hapa na li uzi lako hili!

Kaa pembeni uangalie kama huwezi kusaidia.

Naomba jpm aendeleze kukaza uzi labda akili zitakaa sehemu yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom