Haswa mkuu, zaidi uzima wa afya ya mwili na akili. Kinyume na hapo wewe si lolote sio chochote. Kwa jinsi nilivyomfahamu huyu bwana sikujua kama angalikuwa na mwisho mbaya namna hio. Mbali na yote alioyafanya wakati angali buheri wa afya.
Matatizo ya Figo kama maskini mwenzangu na mie ni kusubiria kufa tuIla binadamu wabaya sana, wanawezaje kumchaji mtu kiasi kikubwa namna hiyo cha pesa!! ikimaanisha kama mtu hana na hana wakumchangia ndio anadanji hivyo kirahisi kabisa hiari madaktari wanaweza kumtibu na kudai ela baadae akipona!!
Nimewaza sana yani mtu kama Ruge mwenye kipato kikubwa anaombewa michango kugharamia matibabu? HAPA KUNA CHA KUJIFUNZA.
Hivi hakuna Bima ya afya ya kimataifa?Mkuu umeambiwa anatumia 5-6 millions per day kwa matibabu.Hebu piga amekaa uko siku ngapi uzidishe na hiyo pesa.Mkuu hata uwe na pesa vipi,matibabu yanakula pesa acha utani.Waweke tu utaratibu jamaa achangiwe,hii Dunia tunapita tu,Jamaa etu Godzillah ametoka ghafala tu hata nafasi ya kuchangia matibabu hatukupata ili kusave angalau maisha yake.Ugonjwa kitu kibaya sana mkuu.
Litafanyika a bado wadau qatafanya michango yaoHivi Kwa Nini kusingefanyika Tamasha kubwa sana, wasanii walioguswa wafanye show ya bure, makampuni yaliyowahi fanya kazi na Ruge Mutahaba yasupport, wananchi tulipe kiingilio, tuchangie Gharama za Matibabu za Ruge.. Tuwaze Wote Kwa Pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Bima hizi zina limitations sana mkuu,hazipo kama tunavyofikiri.tena haya mashirika local ndo kunachallenge sana.Kwani hana bima ya afya?
Kwani mkuu ndo uhai wake umeshafikia mwisho, Lissu mwenyew tulimchangia japo tulisikia anamalimbikizo ya 200+m amelipwa so suala la ugonjwa ni tofauti sana na kipato chako hata kama una 500m ukiingia ugonjwa unaweza shangaa kufa hufi gharama za kukufanya upate ahueni ni kubwa sanaHaswa mkuu, zaidi uzima wa afya ya mwili na akili. Kinyume na hapo wewe si lolote sio chochote. Kwa jinsi nilivyomfahamu huyu bwana sikujua kama angalikuwa na mwisho mbaya namna hio. Mbali na yote alioyafanya wakati angali buheri wa afya.
HIzo bima nyingi zinachagua hospt na gharama kubwa, NHIF kila mtu anahitaji lakini inabidi uwe na 1.5m kujiunga, si mchezo mkuuBima ziko za aina nyingi kutokana na kipato chako ...lakini sisi wote kama watanzania ya kwanza ni NHIF ...amabayo unatibiwa awali hadi Muhimbili ikishindikana nje ya Nchi kwa Gharama za SERIKALI HII NI HAKI YA KILA MTANZANIA....
2.Kuna bima nyingine nyingi kwenye soko AMABAZO CLOUDS KAMA TAASISI NAJUA WANAZO/ AMA WALITAKIWA KUWA NAZO
AAR
STARTEGIES nk
NI KOSA KUKAA NA WALLET AMBAYO HAINA CARD YA BIMA YA AFYA
Inategemea na hali ya mgonjwa. Kama kuna mambo mengine hayako sawa hawawezi kumfanyia surgery yeyote mpaka awe stable. Kuna ndugu yangu nilimpeleka India for a heart surgery. Kufika tukaambiwa pia alikuwa ana shida ya figo ndio maana mwili ulikuwa umevimba sana. Kwa hiyo wakaanza stabilization procedures including kumtoa sumu mwilini coz figo zimekufa, a process known as dialysis. Hiyo process ni extremely expensive!! In three days familia ikawa imetumia 20 million!!! Siku ya nne akafariki!! Imagine angeendelea kuishi na kutibiwa,ingekuwaje!! Bakuli lingetuhusu. Matibabu ya figo ni gharama sana, sana. Unless una bima, utachemsha tu, hata ukiwa Mo Dewwwji!!!Sijui sana kuhusu huo ugonjwa,lakini kwa pesa alionayo mpaka sasa si angeshabadilishiwa figo nyingine...?
Tunazo ila garama zingine ukiwa nje ya nchi muhimu michangoKATENI BIMA YA AFYA WAPENDWA ….
KATENI BIMA YA AFYA WAPENDWA ….
Kwa akili yako unadhani Ruge hana hiyo Bima? Na utakata bima ya sh ngapi ili ikuhudumie garama za mil 5 kwa zaidi ya mwaka mzima na hiyo ni kila siku?KATENI BIMA YA AFYA WAPENDWA ….
Garama za Lisu zimetajwa since day one sasa sijui unataka zipi tena zitajwe Chief ili wewe uchangieNdg Ruge tumesikia garama zake za hospital kwa siku ni Tsh 5,000,000/= kwa huhakika kweli anastahili mchango
Na ndg yetu Lisu ni vizuri gharama zake ziwekwe ili tuendelee kumchangia nae na kujua ni ngapi anadaiwa....kuliko hii sintofahamu garama zake ngapi hadi muda huu...nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app