JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,112
- 3,536
Ndugu wanabodi salamus!
Rais JOHN POMBE MAGUFULI ametimiza miezi miwili madarakani tangu alipo apishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kama kiongozi amefanya mambo mengi mazuri, lakini lililo nisukuma kuandika uzi huu ni kuona kiongozi wa Afrika amekaa madarakani miezi miwili na hajasafiri kwenda Nchi za nje hasa ulaya na Marekani.Ukiona hivyo ujue familia hiyo iko vizuri kimalezi na kimakuzi! wangekuwa ni familia nyingine saa hizi wangemshinikiza waende ulaya kufanya manunuzi na kupumzika ili mheshimiwa akatoe uchovu wa baada ya kampeni ndefu na inayo chosha ya kuwania uongozi wa Nchi.
Wanao mbeza wabeze tu lakini kwa viwango vya kibinadamu na hasa Waafrika jamaa akiendelea na aina hii ya uwajibikaji nina matumaini makubwa kwa iko siku atapata zawadi ya MO IBRAHIMU kwa kuifanyia Nchi uongozi bora.