Wanitakiani
JF-Expert Member
- Apr 18, 2008
- 641
- 135
Nani ana uhakika kwamba hiyi familia haitunzwi tena?
Sidhani kama ni rahisi kiasi hicho kuiacha hiyo familia wanaweza kuwa wameweka hiyo fee kwa tamaa zao wenyewe.
Unahitaji kuwa kiongozi mwendawazimu kuitelekeza familia ya mwalimu
Wewe unaishi wapi? Hukumbuki familia ya Mwl iliwahi kukatiwa hata umeme? Pita pale Wami Dakawa eneo walipoitoa roho ya Sokoine, pametelekezwa! Ilipaswa hata kuweka something big kwa kumbukumbu yake lakini hakuna kitu! Maisha ya familia ya Nyerere ni ya kubangaiza. Ndio maana kaka yake Mwanaasha yupo busy kukumba resources za Wadanganyika, ujinga wa akina Makongoro, Madaraka kuozea Butiama hautaki! This is Bongo bana...!