Familia ya mzee Zahir Zorro 'ilivyomuokoa' Nzela

Habari zimetapakaaa mujiiiiiiiiiiini,
Unaujauzito, ulopewa na mpiga debe ,eeeeeeee nampiga debe.

Nzela Mimi jilani yako nzela
Nimesoma na kaka yako nzeeela
Naumia na tabia uliyonayoooooo
Kumbuka umeacha shule nzelaaaaa
Duniaaaaa nitambala lililotobokaaaa
Kumbuka Kuna gonjwa zito nzela

Nzela Dada Rudi Nyumbani sis tunakukumbuka
Niko hapa namjomba yetu nzela
Jua mama unampa tabu nzela
We miss u Nzela wela yooo mama x2

Tumezaliwa Wawiliiiiii Nzeeeeelah nzela
Jua mama unampa tabu nzelaah nzelaah..
leo ndo nimeelewa aisee
 
Kiukweli Maunda (Nzela) ni moja ya wasanii Tz walokua na sauti tamu. Huyo mpiga debe alipata utamu aseee
 
Dah...ni Sanaa Kubwa, akili Kubwa..! Kizazi hicho Katika Kutengeneza Wimbo msanii anaanza na Kuyajenga Maudhui halafu anaweka beat.

Vijana Wa sasa anaanza Kuomba Beat kutoka Kwa Producer halafu ndo apachike Maudhui.
Hiyo imepelekea nyimbo Za Hovyo sana kutolewa na Kizazi hiki..!

Mtu anaimba 'Nataka Kulewa' hlf anarudia rudia Hayo maneno Wimbo tayari..!
Wanaangalia pesa sio ujumbe.Na wanapiga sana pesa
 
Dah...ni Sanaa Kubwa, akili Kubwa..! Kizazi hicho Katika Kutengeneza Wimbo msanii anaanza na Kuyajenga Maudhui halafu anaweka beat.

Vijana Wa sasa anaanza Kuomba Beat kutoka Kwa Producer halafu ndo apachike Maudhui.
Hiyo imepelekea nyimbo Za Hovyo sana kutolewa na Kizazi hiki..!

Mtu anaimba 'Nataka Kulewa' hlf anarudia rudia Hayo maneno Wimbo tayari..!
Bia tam........
 
Back
Top Bottom