Familia ya mzee Zahir Zorro 'ilivyomuokoa' Nzela

Mkuu umesoma hadi darasa la ngapi!? Kile kipengele cha ufaham swali la kwanza kwenye mitihani kuanzia darasa la 5 unalifaham!? Form one ukifika wanaita comprehension. Hua swali la kwanza la mtihani wa kiingereza.

Nilishangaa pia lakini ilibidi nimueleweshe. Hatufanani kwenye uelewa wa mambo haraka. Ujumbe uko very clear hadi amenukuu pia ila hakuuelewa kirahisi.
 
Yawezekana hakupewa mimba,kwani baadhi ya maneno kwenye ule wimbo ni 'habari zimetapakaa mjini,eti una ujauzito,umepewa na mpiga debe'.Neno ETI,inamaana uhakika hakuna.
Hilo neno ETI halipo kabisa kwenye hayo mashairi mkuu.
 
Nitamani atokee mtu atupe story nzima ya Rita aliyeimbwa na Marlaw bila kutafuna tafuna habari yenyewe. Marlaw aliwahi kuhojiwa zaidi kuhusu muhusika lakini ni kama hakutaka kuongelea sana issue yenyewe.
Huo ni uzi wa siku nyingine mkuu, but kwa ufupi sana inasadikika kuwa ni story ya kweli iliyomtokea rafiki yake Marlaw. Yeye alisimuliwa, akaiweka story kwenye mashairi kama ilivyo na alichobadilisha ni majina tu. Mlengwa ambaye ni marehemu ana jina lake na sio Rita.
 
Marehemu hasemwi...ila ngoja niwasahihishe.
Nzela walimuimba maunda baadae ya kuamua kuwa mcharuko.binti sababu ya uzuri anarukaruka na wanaume hovyo,anawachanganya,kutwa anashinda klabu,marableo na tajiri wa kihindi,kesho na mfanyabiashara Fulani.
So baba na kaka wakajua kabisa mwenzetu tunampoteza.halafu wala haku mdogo sana kama miaka 25-26 hivi.
UKWELI:Alipata mimba,na sababu alikua anachanganya wanaume na wao wanajua kila mmoja akaikana mimba sio take,anamtupia zigo mwingine.na hata maunda mwenyewe hakujua no ya nani kati yao.akabaki na kuamua kulea mwenyewe.ndo mtoto wake wa kwanzaalikua mcharuko kwelikweli,alipojifungua tu hajamaliza hata miezi miwili tayari ananaswa ukumbini anafatiilia tuzo za k'manjaro nyonyo zimejaa dah!

Umeenda kwenye details sana ambazo niliziepuka ili kumsitiri marehemu. Hata hivyo jambo la muhimu alishajirudi na kuwa mtu mwema. Hayo hayana maana tena.
 
Aliyeimba hivyo sio mzee Zorro ni Banana. Na alisema ni habari za mujini.
Habari zimetapakaaa mujiiiiiiiiiiini,
Unaujauzito, ulopewa na mpiga debe ,eeeeeeee nampiga debe.

Nzela Mimi jilani yako nzela
Nimesoma na kaka yako nzeeela
Naumia na tabia uliyonayoooooo
Kumbuka umeacha shule nzelaaaaa
Duniaaaaa nitambala lililotobokaaaa
Kumbuka Kuna gonjwa zito nzela

Nzela Dada Rudi Nyumbani sis tunakukumbuka
Niko hapa namjomba yetu nzela
Jua mama unampa tabu nzela
We miss u Nzela wela yooo mama x2
 
Huo ni uzi wa siku nyingine mkuu, but kwa ufupi sana inasadikika kuwa ni story ya kweli iliyomtokea rafiki yake Marlaw. Yeye alisimuliwa, akaiweka story kwenye mashairi kama ilivyo na alichobadilisha ni majina tu. Mlengwa ambaye ni marehemu ana jina lake na sio Rita.
Je, na Mzee wa kafia gheto Husein Machozi, hii vp nayo niyakweli au ni ubunifu au Lissa yakwake Rapcha
 
Nitamani atokee mtu atupe story nzima ya Rita aliyeimbwa na Marlaw bila kutafuna tafuna habari yenyewe. Marlaw aliwahi kuhojiwa zaidi kuhusu muhusika lakini ni kama hakutaka kuongelea sana issue yenyewe.
Hata mie nataka kumjua haswaaa.
 
Huo ni uzi wa siku nyingine mkuu, but kwa ufupi sana inasadikika kuwa ni story ya kweli iliyomtokea rafiki yake Marlaw. Yeye alisimuliwa, akaiweka story kwenye mashairi kama ilivyo na alichobadilisha ni majina tu. Mlengwa ambaye ni marehemu ana jina lake na sio Rita.

Ndio nataka story ya kina zaidi. Hii kila mtu anajua.
 
Baada ya kutoka kwa wimbo huo wa Nzela,Maunda nae alitoa wimbo kuwajibu ulioitwa "MAPENZI YA WAWILI"
Screenshot_20220512-121805_Opera Mini.jpg
 
Hii ya Wasauzi ilikuwa ni kummis Mandela ambaye alikuwa Gerezani kwa 27yrs ndio wakaimba "We miss you Mandela where are you?"
"we miss you MANELO where are you"

Sio MANDELA japo wengi waga wanahisi ni mandela, sikiliza vuzuri mashairi yake na angalia video yake utaelewa.
 
Back
Top Bottom