Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

They don't give you attention,
They don't cherish you
They don't converse with you
It is a crime before man and a sin before God.
Wachina wanaweza kuchezea hizo plastik ukapata kansa isiyo mfano.
Ndio maana siku hizi cervical cancer kwa wadada ni za kiwango Cha juu mno.

Unabaki kucheka unavyowaona wanashadadia hayo madildo namna wanavyojitesa. Vitu vya kijinga baadae wanakuja kuingia gharama ya mamilion kutafuta tiba.


Alieturoga waafrica atutibu jaman
 
Umedandia. Anzia tangu mwanzo. Sikusema unayojaribu kunipinga.

Niseme na wewe umedandia maana ulipoanza kujibu ulijibu huku ukiwa hujanielewa na ukaleta mada zako mpya ndani yake maneno ambayo sikuyaweka kwenye original comment yangu
Itoshe kusema hukunielewa
Hata hivyo kama kuna watu wanataka kusuguliwa wacha wasuguliwe kama wanataka wapapaswe wacha wapapaswe kila mtu afanye atakacho kuwashangaa Au kuwapangia ni kama vile wewe kusugua huwezi Au unawaonea uwivu wanao suguliwa
Happy Sunday mkuu
 
Wanawake wanachukulia vitu kiurahis... ndio maana waarabu hata wahindi hawawaachi wanawake wafanye maamuzi.. mume akifa kama kuna mahela mwanamke hapewi hizo hela.. ila anapewa huduma zote na ukoo wa mume.. mpaka atakapoolewa tena
Kuna wanaume wanauliwa kwa sababu ya mali tena wapo wengi tu pia wanawake huuliwa kwa sababu ya mali kama huyo mke wa Joe sasa hii habari ya kusema wahindi sijui wanafanyaje haiwezi kuzuia binadamu kuuana sababu ya mali jambo la msingi kila mtu anapaswa kuwa makini
 
Niseme na wewe umedandia maana ulipoanza kujibu ulijibu huku ukiwa hujanielewa na ukaleta mada zako mpya ndani yake maneno ambayo sikuyaweka kwenye original comment yangu
Itoshe kusema hukunielewa
Hata hivyo kama kuna watu wanataka kusuguliwa wacha wasuguliwe kama wanataka wapapaswe wacha wapapaswe kila mtu afanye atakacho kuwashangaa Au kuwapangia ni kama vile wewe kusugua huwezi Au unawaonea uwivu wanao suguliwa
Happy Sunday mkuu
Wivu gani tena jamani? Wa kushindwa kusugua? Du. Sasa wewe kama ndiyo raha yako usilamishe kila mtu aone hivyo. Comment yangu ni standard na ina-apply kwa wanawake wengi i.e. mapenzi ni zaidi ya hiyo kusugua. Kama wewe hiyo ndiyo raha yako basi ruksa ila usilamishe wengine waseme hivyo
 
Wivu gani tena jamani? Wa kushindwa kusugua? Du. Sasa wewe kama ndiyo raha yako usilamishe kila mtu aone hivyo. Comment yangu ni standard na ina-apply kwa wanawake wengi i.e. mapenzi ni zaidi ya hiyo kusugua. Kama wewe hiyo ndiyo raha yako basi ruksa ila usilamishe wengine waseme hivyo

Unatusemea kama nani na wewe ni mume?
Nikuulize basi unajua kusuguliwa huwa tunajisikiaje....
Kitu nimekusoma wewe ni msahaulifu rejea comment yako ya kwanza ulio kurupuka kuijibu soma nilicho kiandika na ulicho kijibu unapoteza maana ya hata tulipo anzia
Kwanza umejibu ukajaribu kunifanya mimi ni mdogo na mgeni wa mboo
Haya wewe mwenyeji wa mboo ukisuguliwa huwa unaumia,maana unaponda kusuguliwa kama vile unajua huwa tunajisikia vipi....hebu tulia tuishie hukunielewa tu yaishe
 
I don’t believe kama boyfriend ndio kaua mchepuko na watoto kwa sababu hata wakifa yeye sio mrithi na angetaka hizo hela zinazoenda bank angemuua mke hata kwa sumu au angemlainisha kwa mapenzi akapewa hizo hela
Hii story ni kutunga
hapa kuna mkono wa ndugu wa mume

Umeniwahi!!huu ndio ukweli
 
I don’t believe kama boyfriend ndio kaua mchepuko na watoto kwa sababu hata wakifa yeye sio mrithi na angetaka hizo hela zinazoenda bank angemuua mke hata kwa sumu au angemlainisha kwa mapenzi akapewa hizo hela
Hii story ni kutunga
hapa kuna mkono wa ndugu wa mume

Uchunguzi utafanyika, naamini haki itatendeka na wahusika watapewa stahiki yao kama adhabu ya kudhulumu uhai wa familia nzima
 
Familia ya mr Joe Mutaboyerwa imepigwa mapanga inawezekana ni mlinzi wao mama na watoto wawili wote wameuwawa
Very sad story

Inasemekana ni njama ya boy friend wake aliyekuwa nae baada ya kifo cha Joe! Aligundua dada ana hela nyingi ambazo alikuwa apeleke bank next day, boy friend akapata tamaa, akapanga na mlinzi wakwakata mapanga wakawaua! Wakachukua pesa! Ila boyfriend akamzika mlinzi pesa! Mlinzi akatoa siri! Wote wamekamatwa

Zaidi soma hapa
Dar Es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Shadrack Kapanga (34) kwa tuhuma za mauaji ya mama na watoto wake wawili eneo la Masaki mtaa wa Maryknol.

Kapanga ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani alikamatwa jana Ijumaa Juni 11, 2021 eneo la Magomeni akiwa kwenye harakati za kutoroka baada ya kuwaua Emilly Mutaboyerwa ambaye ni mama na Damita (13) na Daniela Mutaboyerwa (15).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Juni 12, 2021 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa na baadhi ya vitu alivyoviiba baada ya kufanya tukio hilo.

“Vitu alivyokutwa navyo wakati akitoroka ni simu za marehemu, televisheni, king’amuzi cha DSTV na rimoti,” inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.

Muliro ameeleza kuwa upelelezi wa awali umebaini kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo la mauaji Juni 9, 2021 baada ya kuwapiga kila mmoja kwa wakati tofauti kwa kitu kizito na kuwasababishia kuvuja damu nyingi na kupoteza maisha.

“ Baada ya kuwaua aliwafungia ndani na kutoroka. Upelelezi wa shauri hili unaendelea ili kujua sababu za msingi za mauaji hayo na mara utakapokamilika mhusika/wahusika watafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo,” inaeleza.


Soma pia

1). Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili

View attachment 1816190
Huyo wa kulia mhhh
 
Wajameni, this is very sad!. Emmy Kaungamno, alikuwa jirani yetu next Door, enzi za udogoni pale Drive in Flats, "mafletini". Last Sunday nimesali Msasani Lutheran, nikasalimiana nae, na kujoke, how come, she looks so cute as if she is early twenties, na kusema lazima kuna watu wanatunza!, akasema thanks, hakuna mtu ni Almight God only!. Its as if alikuwa anatuaga!. So sad!.
Paskali
Pasco ulitaka kula kimasihara

Ova..
 
Back
Top Bottom