Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Familia ya mr Joe Mutaboyerwa imepigwa mapanga inawezekana ni mlinzi wao mama na watoto wawili wote wameuwawa
Very sad story!
Inasemekana ni njama ya boy friend wake aliyekuwa nae baada ya kifo cha Joe! Aligundua dada ana hela nyingi ambazo alikuwa apeleke bank next day, boy friend akapata tamaa, akapanga na mlinzi wakwakata mapanga wakawaua! Wakachukua pesa! Ila boyfriend akamzika mlinzi pesa! Mlinzi akatoa siri! Wote wamekamatwa!

Zaidi soma hapa
Dar Es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Shadrack Kapanga (34) kwa tuhuma za mauaji ya mama na watoto wake wawili eneo la Masaki mtaa wa Maryknol.

Kapanga ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani alikamatwa jana Ijumaa Juni 11, 2021 eneo la Magomeni akiwa kwenye harakati za kutoroka baada ya kuwaua Emilly Mutaboyerwa ambaye ni mama na Damita (13) na Daniela Mutaboyerwa (15).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Juni 12, 2021 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa na baadhi ya vitu alivyoviiba baada ya kufanya tukio hilo.

“Vitu alivyokutwa navyo wakati akitoroka ni simu za marehemu, televisheni, king’amuzi cha DSTV na rimoti,” inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.

Muliro ameeleza kuwa upelelezi wa awali umebaini kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo la mauaji Juni 9, 2021 baada ya kuwapiga kila mmoja kwa wakati tofauti kwa kitu kizito na kuwasababishia kuvuja damu nyingi na kupoteza maisha.

“ Baada ya kuwaua aliwafungia ndani na kutoroka. Upelelezi wa shauri hili unaendelea ili kujua sababu za msingi za mauaji hayo na mara utakapokamilika mhusika/wahusika watafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo,” inaeleza.

Soma pia

1). Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili

View attachment 1816190

Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh Mungu wa REhema na Neema, natumai walipata wasaa wa kusema nawe kabla hawajakata roho, Eeh Mungu wa mbinguni roho za hawa wapendwa wetu , EEh Mungu naandika kwa machozi, inauma sana, sana, Mungu tujalie mwisho mwema.
 
Wanaume wa Bongo tunakosea wapi? Tunadhani sex ya kumridhisha mwanamke ni ujuzi wa kusugua na pherhaps kusugua kwa muda mrefu! 🤣. Mazee bila shaka wewe ni mchanga sana kiumri ndiyo maana. Kwenye hayo mambo kuna zaidi ya kusugua. Trust me, kua uyaone! Kumbe ndiyo maana vumbi wa Kongo lina soko sana mkidhani kusugua ndiyo mambo yote! Ukikua utaacha bila shaka.
bora umempa kitchen Party, sisi hatiridhishwi kama mnavyofikiri, kuna mambo mengi sana.
 
Wazee hawasugui vizuri
Huyo mama yupo kwenye age ambayo ana enjoy sana sex kasi ambayo mzee haiwezi ni vijana tu wanamuwezea trust me on that
Shogangu namanisha zile age fulani..kuanzia 40-50 wanathugua freshy sana tu...mwangalie mama diamond na shamte..! Umri wa shamte ndo umri mzuri shamte kshatoka kwa umri wa ujank..unamuona kbs huyu hata kushauri anashauri kiutu uzima...sio ant ezekiel na kusah...vijana hawajui mapenzi kama huelewi shogare!
Ila bwana sex is an art..na kuna wanawake wengine bado hawajui sex..wamekakari kushushwa vifuani after lisaa🚮! Mapenzi sio hizo swaga tu..kukesha kifuani big no!kila mtu na choice yake
 
Wanawake unampelekaje boyfriend kwenye nyumba ya marehemu mumeo mpaka ajue ya hela ulizonazo.

Pia mjane tajiri wanaume wahuni vibenten wa nini.. why usitafute mjane mwenzako mwenye mahela. Ama unakuwa hata mchepuko wa mwanaume anaejielewa pia.. hela anazo ila hajui hata value yake..

Wanawake wajanja wana vikazi vya laki sita tu ila mwanaume mjinga mjinga hawakupi chance hata ya kumsalimia..
Wajanja au wajinga na waasherati tu..ova!
 
Shogangu namanisha zile age fulani..kuanzia 40-50 wanathugua freshy sana tu...mwangalie mama diamond na shamte..! Umri wa shamte ndo umri mzuri shamte kshatoka kwa umri wa ujank..unamuona kbs huyu hata kushauri anashauri kiutu uzima...sio ant ezekiel na kusah...vijana hawajui mapenzi kama huelewi shogare!
Ila bwana sex is an art..na kuna wanawake wengine bado hawajui sex..wamekakari kushushwa vifuani after lisaa🚮! Mapenzi sio hizo swaga tu..kukesha kifuani big no!kila mtu na choice yake
Sema wewe kiazi mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Labda kina dada mkiwapa somo wataelewa lakini sisi wanaume tutaambiwa hatujui. Na mimi kuna mmoja nimempa somo. Waache wafe na vumbi la Kongo ili waweze kusugua wakidhani ndiyo muarobaini wa kukubalika. Kusugua ni moja kipengele tu....
 
😆😆😆😆! Comment nzito hii...! Mapenzi sio aex tu...kuna mengine yanabeba uzito zaidi...ni
Zaidi ya hayo!
 
Mr Joe alikuwa mtu mwema akaondoka na familia yake imemfuta poleni sana familia poleni Sana wafanyakazi wa KAMPUNI YA JOE YA MISTERLIGHT
 
Daah :oops: :oops:
Mama mijengo ikimaanisha nini?
Imagine mdada limekukwama jambo unatafuta mama mtu mzima akushauri anageuka kukuambia nitakutaftia kiben 10 .tena anakuambia ngoja nitakutaftia kiben 5 kiwe kinakukuna🤣🤣..mama yuko abov 67 huko! Sasa fikiria yeye anafanyaje!dunia imeisha kbs!
Mwisho umekaribia
 
Mr Joe alikuwa mtu mwema akaondoka na familia yake imemfuta poleni sana familia poleni Sana wafanyakazi wa KAMPUNI YA JOE YA MISTERLIGHT
Mmh..! Joe ndio misterlight?Mungu wangu.. Ndio amefariki? .. Alikuwa mwema sana.. Tulifahamiana wayback 2001, na gari yangu ya kwanza kumiliki aliniuzia yeye kwa bei sawa na bure! Alikuwa na mpunga wa kutosha sana...!!!! Lakini hakuwa mjivuni wala hakuwa na makuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeskia hayo madildo utamu wake hauna mfano, halafu hayatuchafui ndo mana tunayataka 😋
They don't give you attention,
They don't cherish you
They don't converse with you
It is a crime before man and a sin before God.
Wachina wanaweza kuchezea hizo plastik ukapata kansa isiyo mfano.
 
Wanaume wa Bongo tunakosea wapi? Tunadhani sex ya kumridhisha mwanamke ni ujuzi wa kusugua na pherhaps kusugua kwa muda mrefu! 🤣. Mazee bila shaka wewe ni mchanga sana kiumri ndiyo maana. Kwenye hayo mambo kuna zaidi ya kusugua. Trust me, kua uyaone! Kumbe ndiyo maana vumbi wa Kongo lina soko sana mkidhani kusugua ndiyo mambo yote! Ukikua utaacha bila shaka.

Bila kujua umri wangu unanikurupukia
Pili wewe ni mwanamke mkuu umeshawahi kuingiziwa dudu ukajua tunavyo hisi?mbona sasa unatuongelea kwa niaba
Ngoja sasa nikujulishe kitu kuna kusuguliwa na kuna kutaka kutekenywa upate raha moja huwa ni rough sex moja huwa ni slow hizi zote zina umuhimu Kwa mwanamke mzee hio ya kusugua haiwezi labda awe fit sana
Nikwambie mwanamke jinsi anavyo kuwa ndio anazidi kujielewa zaidi na kuenjoy sex zaidi
Sisi wanawake wa kwenye 30’s tunaenjoy zaidi ya hao watoto wa twenties
Nipo kwenye game kwa muda na najua ninacho kiongelea,nakaribisha mwanamke mwenzangu kwenye 30s ndio anibishie sio wewe mkuu tulia....
 
Shogangu namanisha zile age fulani..kuanzia 40-50 wanathugua freshy sana tu...mwangalie mama diamond na shamte..! Umri wa shamte ndo umri mzuri shamte kshatoka kwa umri wa ujank..unamuona kbs huyu hata kushauri anashauri kiutu uzima...sio ant ezekiel na kusah...vijana hawajui mapenzi kama huelewi shogare!
Ila bwana sex is an art..na kuna wanawake wengine bado hawajui sex..wamekakari kushushwa vifuani after lisaa! Mapenzi sio hizo swaga tu..kukesha kifuani big no!kila mtu na choice yake

Hakuna sehemu nimeongelea masaa tusichanganye mada kwanza mapenzi ni sanaa kama ulivyo sema
Pili wazee wapo wenye uwezo huo ni wachache wanaume wengi tu wakifika kwenye 50’s performance inapungua si kama hao vijana wao wenyewe wanajua
Hata uume unasimama ila sio mubashara kama wa kijana wa kwao unaanza kuwa legevu taratibu
In 40’s mwanamke akipata kijana lazima apate usipingane na nature hata huko mitaani tunaona hio ndio statistics
Jiongelee wewe na wachache ambao hampendi pengine ni stress za kutafuta hela
At your age you are very ambitious kama kwenye late twenties hukujipanga vizuri huku kwenye thirties nyege lazima zikate uwaze mbesa tu.
Ila ukute maisha umeyapatia umeridhika mambo yanaenda after money kingine nini cha kuenjoy kama sio sex
Hii mada ni very subjective though nakuelewa ila elewa na wengine pia
 
Sema wewe kiazi mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Labda kina dada mkiwapa somo wataelewa lakini sisi wanaume tutaambiwa hatujui. Na mimi kuna mmoja nimempa somo. Waache wafe na vumbi la Kongo ili waweze kusugua wakidhani ndiyo muarobaini wa kukubalika. Kusugua ni moja kipengele tu....

Wewe mwanaume hujui jinsi Dudu likiwa mlangoni mpaka ndani tunavyo jifeel sijui kwanini hata una nguvu ya kuielezea hii mada
This topic is very subjective
Hakuna tuliposema kusuguliwa tu ndio deal hayo ni mawazo yako kichwani kwako
 
Back
Top Bottom