Familia ya Lowassa yapelelezwa London kwa Utakatishaji fedha

Hizi nyumba mbona hakuziweka kama sehemu ya utajiri wake? Au alijua hazitajulikana? Kama hili sakata ni la ukweli basi ndio ARIE TU!!!

Lowassa aweka wazi utajiri wake - Kitaifa - mwananchi.co.tz
Hizo nyumba za kule sio sehemu ya utajiri wake, ni nyumba za kijana wake, zilizonunuliwa kwa fedha kutokana na biashara halali za kundi la makampuni ya Alfa!.

Amesema wazi yeye anamiliki ng'ombe 800!.

Tenganisha mali za kampuni ya Alfa na mali zake binafsi!. Hata mimi, ninamiliki kijikampuni kinaitwa PPR, mimi mwenyewe naishi pale Kwa Mtogole kwenye nyumba ya kupangisha nimechukua upande nzima, nalipa laki kila mwezi!, na usafiri ninaomiliki binafsi ni boda boda moja na iko juu ya mawe tangu ile ajali!. Lakini PPR imepanga jengo zima la NHC pale mtaa wa Mkwepu, inalipa kodi ya TZS. 3,000,000 kwa mwezi, inamiliki magari, inamiliki vifaa vya digital production, na imeajiri watu zaidi ya 10!.

Nikulizwa mimi nina nini, nasema ukweli, sina kitu!, kwa sababu vile vitu ni vya PPR!. Vivyo hivyo Mzee wetu anamiliki ng'ombe 800 tuu!, vingine vyote ni vya Alfa!.

Pasco
 
Mkuu Fumbo, asante kwa hii, naunga mkono hoja, ila UKAWA, inakabiliwa na matatizo makuu mawili.
  1. Its only a "Marriage of convenience", wameungana kwa conveniences za Katiba, conveniences hizi zikiisha, ni kila mtu na lwake!.
  2. Hata wakiamua rasmi sasa washirikiane kiukweli kusimamisha mgombea mmoja, its still very unfortunately hawana mtu to march mgombea wa CCM, endapo CCM itaamua kumsimamisha yule "The One and Only!" best they have!. Kama ile kutangaza tuu "naianza safari!", kuta zote za siasa za 2015 zimetetemeka!, atakapoianza rasmi, who will dare stand on his way?!. By now we all know the best from CCM, haws UKAWA wan a nani hata wa kufikirika tuu na uwezo wa kuchagulika ili kuanzia sasa awe groomed?!. They have none!, no one!.

Thanks.

Pasco
Mkuu Pasco, nakubaliana nawe kwa your observation kuwa kuibuka kwa ukawa ni 'marriage of convenience'
ambayo imetokana na agenda ya katiba, ambayo 'imewalazamisha' kuwa wamoja!

Hata hivyo ukumbuke pia imenenwa shari yaweza kuwa mwanzo wa heri.

Tukumbuke pia kuwa tokea mfumo wa vyama vingi urejeshwe tena nchini, mwaka 1992, the biggest obstacle, kwa opposition camp, kutofanya vizuri kwenye chaguzi zote kuu zilizofanyika hapa nchini, ni kwa kila mpinzani, kwenda 'kivyake'

Iwapo kipindi hiki, hao ukawa huo umoja wanaotuhubiria, utakuwa unatoka ndani ya mioyo yao, basi tutaamini wapinzani this time, wameshushiwa ufunuo toka juu mbinguni, kwa Mungu wetu, na hiyo itakuwa the biggest step ambayo wapinzani 'wamethubutu' kuifanya since year 1992.

Kuhusu ukawa kuwa hawana 'suitable' candidate wa kumatch na mgombea 'the special and the only one' kutoka kambi ya magamba , na kwa jinsi ninavyokufahamu Pasco, naamini. hapo utakuwa unamaanisha mzee wa mamvi, kwa kuwa huyo kwako ndiyo your favourite.

Kuhusu kuwa hadi sasa ukawa hawana Presidential Material, wa kuweza kupimana 'ubavu' na wa CCM, hapo naweza kudiffer nawe kidogo, kwa kuwa anaweza kuibuka mgombea from nowhere na hatimaye akaibuka shujaa, kwa kuwa kwenye politics, kitu pekee kinachodetermine umaarufu wa mtu, ni mtitririko wa matukio kwa kipindi husika.

Kwa hiyo Let us wait and see, time will tell.
 
bilioni 5 hata miraji kikwete anazo na kununua nyumba km hizo je lowasa,mlieahi kumwandika sumaye kuwa ana matrilioni nje baada ya uchsguzi kimya,tafuteni uchafu mwingine huu timesha zoea tangu zamani.
 
bilioni 5 hata miraji kikwete anazo na kununua nyumba km hizo je lowasa,mlieahi kumwandika sumaye kuwa ana matrilioni nje baada ya uchsguzi kimya,tafuteni uchafu mwingine huu timesha zoea tangu zamani.
Tusikimbie mada lakini ni kweli kahojiwa tumibu kwanza hili swali ndipo tusonge mbele naona unaanza kudandia watu pasipo joja ya maana.
 
billion 5?? Guys hampo serious, billion tano ata mtoto wa jk wa form four anazo sembuse lowassa?
Ccm ni kichaka cha mafisadi, ila kwa sasa wana baguwana na kuchafuwana....thread imekaa kishabiki, kimbea,kizandiki,kinafiki,kimipasho...tunajuwa lowassa ana maadui wengi,lengo la thread hii ni kumchafuwa.hakika ndani ya ccm hakuna anaweza kumnyooshea lowassa kidole..

kwahiyo hakuhojiwa ?
 
Ivi serikali inangoja nini kutaifisha vitu kama hivi??? Au hadi chadema waingie madarakani???
 
Hahahahaha watu humu bana, naona vijana wa Membe na WAMA project mumechanganyikiwa kwa sasa...Lowassa anawatoa udenda this time....kama billion tano vipi Riz one za ela zake la lake oil, Home shoping centre, majumba kibao hapa mjini, Rhino cement mtoto mdogo kama yule ametoa wapi? Na tunasikia hata yule mzungu aliyefia juzi Mayfare plaza alitoka china kuhusu zile diliiiiiiiiii malizia mwenyewe....
 
Naona mmeambiana kuandika hizi pumba mwenzako ameishakuwahi kuanzisha uzi kama huu.

Akili yako kama avata yako tu wewe hujui unachosema

wewe kila uovu unautetea tu au ndo kusema ccm ni chama cha mashetani eti?

Kila polisi wakiua raia wema wewe unawasifia tu.
ccm wakikwapua 200b wewe unawatetea
polisi wakikamatwa na bangi wewe unawatetea

Your the most foolish person under the son
 
Cha kushangaza Lowasa ndo mtu pekee mwenye ushawishi ccm na anayeogopwa mpaka na raisi.

Pia Lowasa mbele ya wapinzani atakimbizwa sana na kuangukia pua maana pamoja na kumwajiri Kitila Mkumbo amwandikie Makala za kumsifia lakini bado tu haisaidii.
 
Hahahahaha watu humu bana, naona vijana wa Membe na WAMA project mumechanganyikiwa kwa sasa...Lowassa anawatoa udenda this time....kama billion tano vipi Riz one za ela zake la lake oil, Home shoping centre, majumba kibao hapa mjini, Rhino cement mtoto mdogo kama yule ametoa wapi? Na tunasikia hata yule mzungu aliyefia juzi Mayfare plaza alitoka china kuhusu zile diliiiiiiiiii malizia mwenyewe....

Acha wamalizane wenyewe ndo njia ametumia ili kuwapatia watanzania ukombozi wa 2.
 
Back
Top Bottom