SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,803
- 1,863
Achana na huyo mtu maana akili zake kabebewa na mtu,how comes ndugu yako apate janga kubwa km hilo afu umsubiri shemeji yako ndo atoe tamko!? Mwambie huyo jamaa apunguze kiwango cha upumbavu wake maana kmezid mwilini!!!
Na hata pale Mwitongo msemaji wa familia ni Madaraka na siyo Maria.