Familia ya Lissu yagoma ombi la Serikali, yasema hawataomba msaada huo wenye masharti

Ukielewa maana ya kwa niaba ya familia sizan kama utakuja kunywa uharo ulioutoa hapa sijui umekula maharage ya wapi
Nimekuambia kuwa mwenye mamlaka ya kusema kwa niaba ya familia ya Lissu ni Mrs Lissu pekee na siyo hao dada na kaka za Lissu.
 
KULIKONI hiki kikao cha Bunge na familia? Lissu kataarifiwa!?

Aibu kubwa sana.........Ummy utadhani ataishi milele akiwa Waziri.....ipo siku tutakuuliza utu wako.....kama mwanamke .
 
Jamani. Kwa kweli lazima kuweko na barua ya kuomba. Aitha toka bungeni au familia. Nimefanya kazi za serekali kwa miaka 30. Mfuasi wako akipata ajali ata kama ajali ilitokea mbele ya Rais. Lazima kuweko na barua toka sec yako au toka kwenye shida. Hivyo bungeni au familia waombe au qaandikie ST barua ya kuomba masaada.
 
Binge ndiyo wanaotakiwa kuomba. Kwani nini mgonjwa aombe ikiwa ni stahiki yake? Ofisi ya Binge ndiyo iombe kwa ST kwa kuwa ni dharula imetokea
 
KULIKONI hiki kikao cha Bunge na familia? Lissu kataarifiwa!?

Huyu Alute anaweza kudharau jitihada na upendo wa watanzania kwa ndugu yao Tundu Lissu.
Hakawii ku succumb kwa maccm wenzie ili wapate milage ya kisiasa mwishowe tuzodolewe na maccm kanakwamba tulitaka kusababisha kifo cha Tundu Lisu, na wao maccm kimsingi ndio ambao walio engineer matumizi ya smg waonekane wakombozi.

CCM NI LAANA YA HII NCHI.
 
Hawezi coz anaujua msimamo wa mdogo wake...
 
Uko serious kweli!!!? Ile ni ajali kweli? Ulishasikia wapi mtu kapata ajali ya kumiminiwa risasi na SMG halafu unamuomba aliyekumiminia risasi akulipie matibabu??!
Je utajuaje kama amebadili nia ya kukuua? Kwa bandiko lako hiyo 30 umepata uzeefu tu.
 
Back
Top Bottom