Familia ya Lissu yagoma ombi la Serikali, yasema hawataomba msaada huo wenye masharti

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,337
2,000
Tunaomba baadae isilete shida, kama kweli lisu na familia yake wamekataa msaada basi Watanzania, tumewaelewa. Tunaiweka kwenye kumbukumbu.
Msaada upi??? Wewe ni mshenzi kweli kwani Lissu mi mkenya??? Eti msaada why wasimtibu km raia wa nchi hii na umhimu wake(Mbunge/President/ TLS na mfanyakazi/mdau wa mahakama).

Kiukweli mimi CCM ila kuna wakati huwa nawachoka akili za viazimbatata za sisi wanaccm.

Ebu tujiongeze aisei, tutakuja kuzalisha chuki na mawazo mabaya kwa vizazi vijavyo..!
 
mahutu

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
766
1,000

Usijilazimishe kua ccm...hoja tu zinaonyesha haupo huko
 
MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
1,956
2,000
Huyu Return of Undertaker na wenziwe sijui kwa nini hawataki kufuata maagizo ya mwenyekiti wao? Au ni yale aliyoyaona Mzee Duni kuwa chama kile ni cha makambale, kila mmoja ana masharubu.

Leo gazeti la mwananchi limedai kumhoji mke wa Lissu kuhusu msaada wa serikali kugharimia tiba ya mme wake. Mrs Lissu akajibu hana comments kwa sasa. Undertaker anasema Tundu mwenyewe akiwa ICU amempigia simu mdogo wake akiwa kwenye kikao cha TLS Arusha kuwa hataki msaada huo wa kinafiki kutoka serikali.
Vipi inamaana wewe bado hujaona mahojiano ya kaka wa Lissu na Azam?.Mbowe alisema kuhusu hili la barua wanaiachia familiya.Mwakilishi na kiongozi wa familiya amezungumza tayari tena amesema ni maagizo ya mgonjwa mwenyewe.Naona mlifikiri familiya ya kina Lissu ni zile mlizozoea mlitaka kupenya hapo kujitakasa.Familiya ya Lissu inafahamu hasa ni nani mwenyenia njema kwa ndugu yao kati yenu na CHADEMA.
 
jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
7,700
2,000
Yaani hili swala limegeuzwa geuzwa mpaka limekuwa la kisiasa bila kujali afya ya mgonjwa, tunakereka kabisa..
Wote ndorobo, wahusika wa Mh. Lissu na Serikali...
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,371
2,000
Msaada upi??? Wewe ni mshenzi kweli kwani Lissu mi mkenya??? Eti msaada why wasimtibu km raia wa nchi hii na umhimu wake(Mbunge/President/ TLS na mfanyakazi/mdau wa mahakama).

Kiukweli mimi CCM ila kuna wakati huwa nawachoka akili za viazimbatata za sisi wanaccm.

Ebu tujiongeze aisei, tutakuja kuzalisha chuki na mawazo mabaya kwa vizazi vijavyo..!

Mmeshazalisha Chuki na Visasi Mkuu.Kwa sasa ukiona Mbuyu unachipua unadhani mchicha na ukakazana kuumwagia Maji na mbolea usishangae ukakutana nao usiku ni Mbuyu.

Chuki na Visasi ni dhana ambayo Kiongozi Mkuu wa nchi anayeilima na kujenga,mwanzo wa nyumba ni jamvi.

Unapojenga nyumba ukaweka msingi basi ubora wa nyumba huonekana kwenye msingi.

Pamoja na mabaya ya JKN alijitahidi kuweka msingi wa Upendo,na kuvumiliana.Aliondoa Chuki na Visasi ili kujenga Taifa lenye umoja.

Unapobomoa msingi huu basi unajenga msingi wako.JPM anajenga msingi utakaomfaa yeye wakati wa utawala wake,Chuki,Visasi,Ubaguzi na Utengano.Bahati mbaya wanachama wengi wa CCM waliozoea kupiga makofi bila kuhoji hawaoni.Wakijakuona wameishachelewa
 
mahutu

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
766
1,000
Hivi kumbe kua rais wa TLS hakuna faida yeyote ile ukipata tatizo au kujifanya maskini jeuri akati unaomba msaada kwa watu.
 
MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
1,956
2,000
Yaani hili swala limegeuzwa geuzwa mpaka limekuwa la kisiasa bila kujali afya ya mgonjwa, tunakereka kabisa..
Wote ndorobo, wahusika wa Mh. Lissu na Serikali...
Muhanga wa tukio ni mwanasiasa,Jamii kwa asilimia kubwa including mgonjwa mwenyewe anaamini shughuli zake za kisiasa ndicho chanzo cha matatizo yaliyompata.Sasa utaachaje kuiunganisha sasa na suala hili?.
 
Mhakiki

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
2,066
2,000
Jamani mchani alinuia kabisa kukuulia mwanao then ukampigie mgoti mchawi wako wapi na wapi?
Mbona hatokuona familia ya yule jamaa wa kupigwa rungu akiomba msaada kwa Ndughai?
 
Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,224
2,000
Vipi inamaana wewe bado hujaona mahojiano ya kaka wa Lissu na Azam?.Mbowe alisema kuhusu hili la barua wanaiachia familiya.Mwakilishi na kiongozi wa familiya amezungumza tayari tena amesema ni maagizo ya mgonjwa mwenyewe.Naona mlifikiri familiya ya kina Lissu ni zile mlizozoea mlitaka kupenya hapo kujitakasa.Familiya ya Lissu inafahamu hasa ni nani mwenyenia njema kwa ndugu yao kati yenu na CHADEMA.
Wewe hujui maana ya neno familia (family). Kaka au dada wa Tundu Lissu is not part of Tundu Lissu family. Usichanganye neno la ukoo wa Lissu na familia ya Lissu. Familia ya Lissu inamaanisha Lissu mwenyewe, mke na watoto wake full stop. Ndugu wengine ni wanaukoo tu, hata kwenye mirathi hawamo. Kwa kuwa sasa hivi Lissu yuko ICU mtu pekee ambaye anaweza kuongea kwa niaba ya familia yake ni mkewe na siyo huyo kaka wala baba au mwana ukoo yo yote mwingine wa Lissu. Hao wengine wanaweza kuwa washauri tu wa familia hiyo. Mrs Lissu amesema hana comment ye yote kwa sasa. Huyo kaka ni limbukeni, hapaswi kujitwalia madaraka hao wakati mke na watoto wapo. Usomi wake wa sheria haujamusaidia kwenye masuala haya. Amejipa power of attorney wa Tundu Lissu kisivyo kihalali.
 
ngoshaaa

Member
May 18, 2017
88
125

Ukielewa maana ya kwa niaba ya familia sizan kama utakuja kunywa uharo ulioutoa hapa sijui umekula maharage ya wapi
 
Kocha

JF-Expert Member
Mar 2, 2008
377
250
Stahiki yake kama Mbunge,yani ofisi ya Bunge inapaswa kugharamia matibabu kwa mbunge yoyote anaepata matatizo ya ugonjwa hili suala halihitaji mjadala ni stahiki za mbunge
Hapa tatizo ni chuki tu ndiyo imetawala, maama kama ingekuwa ni mbunge wa ccm amepata hayo matatizo basi wala mjadala usingekuwepo ange gharamikiwa na bunge bila vikwazo vyovyote.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,139
2,000
Wewe hujui maana ya neno familia (family). Kaka au dada wa Tundu Lissu is not part of Tundu Lissu family. Usichanganye neno la ukoo wa Lissu na familia ya Lissu. Familia ya Lissu inamaanisha Lissu mwenyewe, mke na watoto wake full stop. Ndugu wengine ni wanaukoo tu, hata kwenye mirathi hawamo. Kwa kuwa sasa hivi Lissu yuko ICU mtu pekee ambaye anaweza kuongea kwa niaba ya familia yake ni mkewe na siyo huyo kaka wala baba au mwana ukoo yo yote mwingine wa Lissu. Hao wengine wanaweza kuwa washauri tu wa familia hiyo. Mrs Lissu amesema hana comment ye yote kwa sasa. Huyo kaka ni limbukeni, hapaswi kujitwalia madaraka hao wakati mke na watoto wapo. Usomi wake wa sheria haujamusaidia kwenye masuala haya. Amejipa power of attorney wa Tundu Lissu kisivyo kihalali.

..sikiliza hiyo video tena.

..Tundu Lissu ndiye amezungumza na kaka yake Alute Mughwai na kumpa maelekezo kuwa asiandike barua kuomba msaada serikalini.
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,964
2,000
..sikiliza hiyo video tena.

..Tundu Lissu ndiye amezungumza na kaka yake Alute Mughwai na kumpa maelekezo kuwa asiandike barua kuomba msaada serikalini.

JokaKuu,
Yaani umetoa angalizo zuri, Wana-Jamiiforums tuwe na tabia ya kuwa wasomaji, wasikivu wa audio na kutazama pia video zilizoambatanishwa na maelezo/taarifa ili kupata uelewa wa habari hiI nyeti kabla ya kukurupuka kutoa maoni.
 
MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
1,956
2,000
Wewe hujui maana ya neno familia (family). Kaka au dada wa Tundu Lissu is not part of Tundu Lissu family. Usichanganye neno la ukoo wa Lissu na familia ya Lissu. Familia ya Lissu inamaanisha Lissu mwenyewe, mke na watoto wake full stop. Ndugu wengine ni wanaukoo tu, hata kwenye mirathi hawamo. Kwa kuwa sasa hivi Lissu yuko ICU mtu pekee ambaye anaweza kuongea kwa niaba ya familia yake ni mkewe na siyo huyo kaka wala baba au mwana ukoo yo yote mwingine wa Lissu. Hao wengine wanaweza kuwa washauri tu wa familia hiyo. Mrs Lissu amesema hana comment ye yote kwa sasa. Huyo kaka ni limbukeni, hapaswi kujitwalia madaraka hao wakati mke na watoto wapo. Usomi wake wa sheria haujamusaidia kwenye masuala haya. Amejipa power of attorney wa Tundu Lissu kisivyo kihalali.
Mkuu katika content ya tukio tunalolijadili likotofauti sana na habari za mirathi.Kwa suala hili kaka mkubwa wa Lissu kulisemea ni sahihi kabisa.Alute ametanabaisha hayo aliyoyazungumza amepewa maagizo na Lissu mwenyewe,unadhani kwa nini hakumtuma mkewe akaseme?.Kuna baadhi ya matukio msemaji wa familiya so lazima awe Mke,Mme au mtoto,katika majanga mfano misiba utakuta msemaji wa familiya so lazima awe kama unavyotaka wewe anaweza kuwa kaka mkubwa,baba mkubwa/mdogo n.k.Umewahi kuona mfano msiba umetokea baba kafa alafu mkewe ndiye akawa msemaji wa familiya kwa maana ya kutoa matamko/utaratibu na maelekezo mbalimbali kwa waombolezaji?.Katika suala la Lissu hauwezi kumtenga Alute( kaka mkubwa wa Lissu)unapotaka meno la familiya.
 
Nitajulikana

JF-Expert Member
Sep 20, 2017
328
500

Achana na huyo mtu maana akili zake kabebewa na mtu,how comes ndugu yako apate janga kubwa km hilo afu umsubiri shemeji yako ndo atoe tamko!? Mwambie huyo jamaa apunguze kiwango cha upumbavu wake maana kmezid mwilini!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom