Familia ya Kikwete 5 viongozi CCM kitaifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Familia ya Kikwete 5 viongozi CCM kitaifa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Oct 3, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Busara kwa familia moja yenye nafasi katika serikali kuchukua nafasi zote hizo? Yes ni halali yao na haki yao kikatiba, lakini je, kufanikiwa kwao kungewezekana wasingekuwa katika nafasi hiyo? Mambo mengine ni busara tu inahitajika kufikia uamuzi.
   
 2. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Duh?!..watano?..hii yote ili iweje?!..Lwamba na "mimi nilikiepo katika ulimwengu wa siasa", jina, fame au legacy??kwasababu vyote hivyo vya kwanza wanavyo ila cha mwisho sasa?
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nyerere aliliona hili, Mwinyi akafuata, kisha Mkapa naye kuweka mbali familia zao na siasa, walipotoka Ikulu ndipo kila mmoja kwa jitihada zake afurukute kujipanga afanikiwe bila kutumia mgongo wa Ikulu kama njia ya kupitisha familia kuhozi chama cha siasa.
   
 4. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  natamani nitukane lakini nakosa 2si! MWIGULU sijui hapo atasemaje? na kauli zakev za kipuuzi dhidi ya chadema! kwa halii atadharaulika na kuonekana na mambo ya kipuuzi!!! hapo ni familia moya bado nyingine na nyingine
   
 5. kipenga

  kipenga Senior Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Maneno yamkosaji hayo! Wanaweza uongozi acha waongoze, 'kila mbuzi atakuwa kwa urefu wa kamba yake.'
  Jitetee katika nafasi yako ulipo, acheni kutoa mapovu.
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Sidhani kuna anayesema hawawezi, ila busara huwa inahitajika katika jambo hili. Ujue aliyepo Ikulu ni rahisi zaidi kupenya kwa kutumia mgongo wa Ikulu kuliko mlala hoti wa Tunduru au Makutupora.
   
 7. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huu ni ushahidi wa uroho, upofu na kutoona mbali. Kama Nyerere angekuwa kipofu hivi leo tungekuwa tunaongelea chama cha Nyerere na siyo CCM. Hata hivyo, kama umma utatambua hatari ya hili, hakuna haja ya kujiumiza vichwa badala ya kuitimua CCM ili tuone huko kujirundikia madaraka kama kutawafaa hawa wanaoyatumia kifisadi na kifamilia.
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Je, kauli ya Mbunge Mnyika aliyoitoa bungeni na kisha kumwadhibu kwa kumtoa nje ya ukumbi inazidi kudhihirisha ukweli au aliropoka tu? Kiongozi makini kama akina Nyerere angeweza kufanya hivyo?

  Mtoto wa Ali Hassan Mwinyi ambaye ni waziri wa afya sasa hivyo aliinuka kivyake si kwa mgongo wa babake akama inayoonekana tunaochojadili.

  Mkapa hata sura za wanae wengine hatuawahi kuziona na haijulikani wanafanya nini na wako wapi.

  Hili la kujaza familia ya rais chamani ina kera. Ni busara ya kawaida inahitajika katika hili, si lazima kusubiri kukosolewa au kuangalishwa na chama husika.
   
 9. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wote wataondoka baada ya uchaguzi wa 2015, either way...ccm au cdm madarakani...kwa sasa waacheni coz baba yupo ndani. Wakiingia mafisadi watawatowa wote na kusahaulika. Haya yamijizihirisha, ditopile mdogo kaanguka.ukiwaona angekuwepo angeshinda. Ccm wanafiki sana, yaani mtu akiwa madarakani anaogopwa. Akitoka anakuwa kama jamvi la kutandikwa chini.
  El alipokuwa waziri mkuu kila mmoja alikua anamtetemekea, katoka kawa mgonga ulimbo kama wengine, watu wamekua wana mtusi na kumwita fisadi...sasa hivi wanahisi anaweza kuchukua nchi utaona maneno yanapungua na uoga unawaingia
  chama HIKI nilikipenda zamani...kwa sasa nimekichukia sana
   
 10. n

  nndondo JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Waacheni na chama chao wageuzwe kama samaki, wakina malecela badala ya kuongelea hilo wanatoka kuchamba wima eti CCM chini ya uongozi makini wa ...... njaa zimewageuza wanafiki, hawakubali kurudi nyumbani kupumzina ni upumbavu kweli
   
 11. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  This is ridiculous to say the least... haoni hata aibu?
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ningekuwa mwanafamilia hii, wallahi ningesikia aibu!...lkn wengine sura zetu ni za plastic.

  Hivi hakuna ajira zingine?
  Haya ni mapenzi n chama au kuna mkono wa chuma nyuma ya pazia?
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  mkuu Janjaweed,hivi ile sura unadhani imebakiza aibu yoyote ile? Pale ni hasara mazima
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hivi waliomchagua huyo Mohamed walikuwa na akili timamu ama ndio tena akili za Mbege na mapuya? kuna kitu chochote anawaza kweli?
   
 15. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mkuu sijakuelewa....kwa hiyo wewe ndio mbuzi...au Kikwete na familia yake ndio mbuzi...au wote!? maana sisi ni 'mbayuwayu'!
   
 16. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Afadhali mie sijawahi kukipenda!
   
 17. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  what a shame to our country! being governed with such a leader! pathetic! aibu zenu hiyo familia! naona huyo mama salma huwa haamini mpaka leo kama ndio yupo hapo, from being a primary school teacher to where she is now!
   
 18. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kama kiongozi wa familia ana upeo mdogo mnategemea nini kutoka kwa anaowaongoza? Si kazi walikaa kifamilia na kukubaliana kuhusu upuuzi huu. Hili kweli ni JANGA LA TAIFA.
   
 19. N

  Nyalutubwi JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  When Tundu Lisu mentioned and reffered the current President as a King majority of Tanzanians couldn't understood.
  Now things are obvious.
   
 20. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Wa Tanzania tunasafari ndefu sana kufikakwenye mafanikio ubinafsi utatuuwa
   
Loading...