Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,648
- 12,257
Hao wote madishi yao yameyumba.
Usipoteze muda wako kuwawaza.
Usipoteze muda wako kuwawaza.
So mkuu ni lazima kukupenda?Kama hunipendi mimi utapata tabu sana mwaka huu! Tandu watakuwa wanatembea usoni mwako wakati unapofumba macho kutaka kulala, na utakosa usingizi mwaka mzima! Afadhali ubadilishe mtazamo uwe mtu positive ambaye haendeshwi na hisia.
Hata kama alifariki 1902, kwa hivyo unataka kusema familia ya Gwajima haina mmiliki na msemaji mkuu wa familia kwa sasa na mtu anayesimama kama baba wa familia kwa taratibu za asili yao? We ndugu yangu asili yako wapi kwamba akishakufa baba yako ndo mwisho wa familia yenu?Hawa wahutu waliojivika usukuma ni waongo sanaView attachment 1903648
Steven Gwajima ana uhusiano gani na Mzee Gwajima( Baba yake Josephat). Naona Josephat alitumia Ukoo wetu..Hawa wahutu waliojivika usukuma ni waongo sanaView attachment 1903648
Kwa taratibu za kisukuma, Mwanamke yeyote aliyeolewa kwenye familia "NG'WINGA = mtu wa kuondoka wakati wowote (mpitaji)" hawezi kuombwa msamaha hadharani na mwanafamilia yeyote mwenye umri au hadhi kubwa kuliko ya mmewe katika familia husika kwa kosa lolote. Ukiolewa usukumani hiyo 50-50 sahau.Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi.
Lakini badala yake askofu gwajima amegeuza suala la chanjo kuwa mahubiri yake ya kila siku kanisani kwake huku akihamasisha na watu wengine kutochanjwa.
Si hivyo tu, pia kwenye mahubiri yake, askofu gwajima amekuwa akitumia mahubiri hayo kumshambulia shemeji yake na kuvuruga jitihada anazofanya kuhamasisha wananchi kuchanjwa chanjo ya UVIKO-19.
Kwa sababu ya busara ndogo ya askofu gwajima na kwa sababu ya kusaka umaarufu wa kisiasa amepelekea kuwepo kwa mzozo wa kifamilia na hata kuhatarisha ndoa ya mdogo wake.
Licha ya ndoa ya mdogo wake kuwa mashakani, pia anamharibia shemeji yake kwani mwitiko mdogo wa zoezi la chanjo unatokana na kauli zake anazozitoa akiwa madhabahuni.
Kwenye ibada ya leo, askofu gwajima ndio kaharibu kabisa kwani inaonyesha ameamua kumvunjia heshima na kumdhalilisha shemeji yake wazi wazi kwamba yeye kuolewa na mdogo wake ni hasara kwa familia yao na kwamba wamekuwa hawaelewani kwa sababu yake.
Mbaya zaidi mzee gwajima naye pamoja na uzee wake inaonyesha hana hekima wala busara kwa sababu alipaswa kuwa sehemu ya usuluhishi kwa kumshauri mwanaye 'askofu' kuacha kulumbana na shemeji yake hadharani lakini naye amezidi kukoleza moto kwa kumpa go ahead ya kumdhalilisha dorothy ambaye ni 'mwenga' wake.
Kwakweli kitendo kilichofanywa na askofu gwajima pamoja na mzee wake kumtweza Dorothy ni kitendo cha aibu na kiungwana wamtafute wamuombe radhi hili jambo walimalize kifamilia kwani msingi wa matatizo yote haya bila kupepesa macho ni Askofu Gwajima.
sasa kwa nini unichukie basi?So mkuu ni lazima kukupenda?
AiseeMichezo hiyo ya serikali kufanya mhame kwenye mambo msingi....Tozo na katiba mpya...stuka huo upuuzi acheni mambo ya Gwaji wanacheza akili yenu
Mm niko upande wako nayaona haya malumbano ya Gwajima waziri na Askofu kwa mtazamo tofauti ya kwamba kila mmoja ana haki kwa upande wake ,Askofu ana haki ya kuchambua mambo ya chanjo na kujiridhisha kabla kutokana na Imani yake, achilia mbali the other side of him km political figure na Waziri ana haki ya kutetea kazi yake km waziri mwenye dhamana na muhusika mkuu wa kusimamia zoezi zima la chanjo!Apana, chanzo Cha tatizo Ni waziri mwenyewe kwa kuleta personal issues kwenye mambo ya korona, alitakiwa amjibu askofu kwa mambo ya korona na si kuleta mambo ya mkono wa baunsa. Nk.
Umesahau kuwa ni ASKOFU GWAJIMA ndiye aliyeanza UBAYA wa kuwaombea LAANA YA KUFA MADAKTARI WOTE WATAKAOHIMIZA CHANJO ?!!!!Kama Dorothy asingemjibu na kumshambulia Askofu kwa maneno ya kuudhi (hata kama mengine ni kweli) bila shaka Askofu Rashid asingechomoa battery
Huna haja ya kumuonea huruma Dorothy. She is old enough to deal with whatever is thrown at her. Alijiingiza kwenye mabishano huku akijua nini kitafuata. Acha tu waonyeshane makali.
Askofu Rashid sio muumini wa “ukinitandika kofi shavu hili, nitageuza upige na huku”. Yeye ni mzee wa tit-for-tat, jino kwa jino.
Ukivuliwa nguo na kichaa na wewe ukaanza kumkimbiza, watu timamu watakushangaa wewe.Umesahau kuwa ni ASKOFU GWAJIMA ndiye aliyeanza UBAYA wa kuwaombea LAANA YA KUFA MADAKTARI WOTE WATAKAOHIMIZA CHANJO ?!!!!
Mh.Waziri D.Gwajima naye ni DAKTARI.....
Simtetei mtu....Ukivuliwa nguo na kichaa na wewe ukaanza kumkimbiza, watu timamu watakushangaa wewe.
Msimtetee Dorothy na acha tu waendelee kuparurana
Kukupenda/kukubaliana na mitazamo yako ni hiyari yangu na pia naweza nisikupende/kutokubaliana na wewe na bado nikawa sahihi, mimi nimeamua kutokubalia na wewe, sidhani kama nimekoseasasa kwa nini unichukie basi?
Duuh! Kwa hiyo mzee kafufuka? "Full" uongo.Hawa wahutu waliojivika usukuma ni waongo sanaView attachment 1903648
Umejalibu kumuuliza huyo shemejie kama alitumia busara badala ya kuzungumzia upingaji wa chanjo wa askofu yeye akaingilia mambo ambayo yanaleta udhalilishaji kwa kusema askof kakutwa na mlembo na mambo ya kutaka ubunge pia kuhusu amina chifupa?Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi.