Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,794
- 71,214
Kauli za kuchanganya zinazotolewa na Mambosasa ni sababu tosha kuifanya familia ya marehemu Aqulina kuona kuwa unafanyika usanii juu ya kifo cha kusikitisha cha mtoto wao hivyo wana haki kukataa msaada aliosema Ndalichako kuwa utatolewa wa mazishi kwani ni kama dharau kwao.
Ndugu, jamaa na marafiki hawashindwi kuwachangia ili kukwepa mauaji hayo kufanywa kitu cha kutupia lawama wengine
Ndugu, jamaa na marafiki hawashindwi kuwachangia ili kukwepa mauaji hayo kufanywa kitu cha kutupia lawama wengine