Familia ya Allan Kiluvya, Msaidizi wa Bernard Membe yajitokeza kuomba msaada baada ya kumtafuta bila mafanikio

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Familia ya msaidizi wa Bernard Membe, Allan Kiluvya anayedaiwa kutekwa usiku wa kuamkia Julai 7, imeomba msaada baada ya kufanya jitihada za kumtafuta vituo mbalimbali vya polisi jijini Dar Es Salaam bila mafanikio.

Ndugu hao wamejitokeza leo Julai 8, kuomba msaada kwa Rais Dkt John Magufuli, Serikali na watanzania kwa ajili ya kufanikisha kumpata.

Akizungumza kwa niaba ya Familia, Mjomba wa Allan, Samwel Ng'andu amesema kutokana na jitihada walizozifanya lakini sasa wameshaanza kukata tamaa ya wapi watampata ndugu yao, na kueleza ni mazingira yapi aliyotekwa Allan.

''Alikuwa kwenye matembezi ya jioni na dada zake, wakati anawarudisha nyumbani, alipowafikisha na kutaka kutoka, ile anageuza gari, ghafla ilitokea gari ikamblock kwa nyuma kiasi ambacho alishindwa kugeuza, na kwa sababu alikuwa amekunywa kidogo oviousily alikasirika, kidogo alishuka na kisha dereva walile gari jingine alishuka''

Mjomba wa Allan aliendelea kueleza, ''Ghafla akawa amezungukwa na watu sita, na ndipo walipomvamia Allan, na akaanza kuomba msaada kwa dada yake Magreth, Magreth naomba unisaidia, Magreth naomba unisaidie!! na Magreth alipoonyesha dalili ya kupiga kelele, mmoja alitoa bastola na kumuwekea kichwani''

Baada ya Magreth kuanza kupiga kelele, na ndipo ndugu wengine walipoamka na kukusanyana kwenda, kutoa taarifa kwenye kituo cha polisi cha kawe majira ya saa 8 usiku.
Aidha wametoa wito kwa viongozi mbalimbali wa dini, kuendelea kumuombea Allan ili kokote aliko akaweze kuwa salama.

Kwa mujibu wa wanafamilia, gari iliyomteka Allan ni Land Cruiser yenye namba za usajili T 810 BQS rangi ya kijivu na gurudumu lake limefunikwa na rangi ya chungwa.
 
Hakika hakuna alie salama na kila mtu ataguswa!!

Sijui kama Polisi/TRA wanaweza sema kama hiyo number ya gari ni fake au halisi na hata kumtaja mmiliki in case ni number halisi.

Sanasana unaweza kuwasikia wakisema wananchi walisaidie Jeshi la Polisi iwapo wana taarifa yoyote itakayosaidia wahusika/watuhumiwa kukamatwa!!
 
Ok
Screenshot_20190708_174734_com.twitter.android.jpg

Swissme
 
Familia ya msaidizi wa Bernard Membe, Allan Kiluvya anayedaiwa kutekwa usiku wa kuamkia Julai 7, imeomba msaada baada ya kufanya jitihada za kumtafuta vituo mbalimbali vya polisi jijini Dar Es Salaam bila mafanikio.

Ndugu hao wamejitokeza leo Julai 8, kuomba msaada kwa Rais Dkt John Magufuli, Serikali na watanzania kwa ajili ya kufanikisha kumpata.

Akizungumza kwa niaba ya Familia, Mjomba wa Allan, Samwel Ng'andu amesema kutokana na jitihada walizozifanya lakini sasa wameshaanza kukata tamaa ya wapi watampata ndugu yao, na kueleza ni mazingira yapi aliyotekwa Allan.

''Alikuwa kwenye matembezi ya jioni na dada zake, wakati anawarudisha nyumbani, alipowafikisha na kutaka kutoka, ile anageuza gari, ghafla ilitokea gari ikamblock kwa nyuma kiasi ambacho alishindwa kugeuza, na kwa sababu alikuwa amekunywa kidogo oviousily alikasirika, kidogo alishuka na kisha dereva walile gari jingine alishuka''

Mjomba wa Allan aliendelea kueleza, ''Ghafla akawa amezungukwa na watu sita, na ndipo walipomvamia Allan, na akaanza kuomba msaada kwa dada yake Magreth, Magreth naomba unisaidia, Magreth naomba unisaidie!! na Magreth alipoonyesha dalili ya kupiga kelele, mmoja alitoa bastola na kumuwekea kichwani''

Baada ya Magreth kuanza kupiga kelele, na ndipo ndugu wengine walipoamka na kukusanyana kwenda, kutoa taarifa kwenye kituo cha polisi cha kawe majira ya saa 8 usiku.
Aidha wametoa wito kwa viongozi mbalimbali wa dini, kuendelea kumuombea Allan ili kokote aliko akaweze kuwa salama.

Kwa mujibu wa wanafamilia, gari iliyomteka Allan ni Land Cruiser yenye namba za usajili T 810 BQS rangi ya kijivu na gurudumu lake limefunikwa na rangi ya chungwa.
Hii stori kama picha la kihindi ambalo staring anakufa mwanzoni.
 
Jasusi mbobezi kasemaje?
 
Kama tukio ni la kweli basi watoa Maelezo wameyabumba, maana hiyo picha iliyowekwa sidhani kama ni ya usiku kwamujibu Wa Maelezo haya kuwa kitendo kimefanyika SAA za usiku
 
Back
Top Bottom