Familia nyingine ya weusi yadai mtoto wao ni mzungu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Familia nyingine ya weusi yadai mtoto wao ni mzungu!

Discussion in 'Jamii Photos' started by babu M, Jul 23, 2010.

 1. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Mtoto mwingine mwenye fair haired,green eyed aliyezaliwa na wazazi weusi <?xml:namespace prefix = st1 ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:smarttags" /><st1:country-region><st1:place>U.K.</st1:place></st1:country-region><?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p></o:p>
  <o:p></o:p>
  Emmanuel Ofor kama ilivyo Nmachi(nimemweka kwenye thread nyingine) aliyezaliawa siku chache zilizopita,wazazi wake awajaweza kupata jibu mpaka sasa hivi kwa zaidi ya miaka mitatu kwa nini mtoto wao amezaliwa hivyo.
  <o:p></o:p>
  Mtoto Nmachi nywele zake za kizungu kabisa lakini Huyu Emmanuel namwona <st1:place>kama</st1:place> Albino ingawa wamesema siyo au ndiyo kutafuta fifteen minutes of fame au pesa?
  <o:p></o:p>
  Wazazi wa familia zote mbili wametokea Nageria, kama Emmanuel naye ni mzungu kuna nini huko?

  <o:p></o:p>
  <o:p></o:p>
  [​IMG]

  Habari zaidi unaweza kupata kwenye hii link:White toddler Emmanuel Ofor has black parents | The Sun |News
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  babu M,
  Huyo ni albino mwangalie vizuri. Tena anafanana na baba yake.
   
 3. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Albino sio mzungu bwana acheni mambo ya ajabu
   
Loading...