Familia nyingi zinaishi na mahema ya misiba majumban mwao??yako je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Familia nyingi zinaishi na mahema ya misiba majumban mwao??yako je?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 16, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  Ni bora msiba unaojua umetokea na watu wanakuja kukupa pole ogopa mtu alieumizwa aliekuwa na msiba wa ndoa ambae soln yake ni yeye na mungu wake akuna atakae kuja kumpa pole maana soln ni yeye na mungu wake tu...usione watu wamepaki ma hammer majumban mwao wamepaki ma landcruiser pembeni kuna mahema ya msiba ya ndoa ...tatizo tu watu wanajiuliza msiba ule ni wangu na nahitaji kusihiriki ama lah... Yer 32:26 anasema kkuna neno gan gumu nisiloliweza pengine una mashaka kwenye ndoa yako hujui kama huyu ndie mumeo halisi ama lah...soma zab 34:17,ayubu 2:1-5

  kuna dk mmoja alikuwa namkewe anamatatizo ya ugonjwa wa kujikojolea ilichukua muda kuwa muwazi kwa mumewe..ikafika time wakapata mttoto akaomba alale nae mbali.. Ndugu jina la yesu ni ngome imara wenye haki wakikimbilia wanakuwa salama yawezekana ndoa yako inamatatizo mengi zaiidi ya haya mpokee yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yako mpelekee haja ya moyo yako akika utakula mema ya nchi hapa dunian.....binafsi huwa napingana na baadhi wa watumishi wa mungu wanaosema hata ukikosa mema hapa dunian utapata mbinguni nani kakuonyeshamema ya nchi utapata mbinguni..mbingu ni mbingu na nchi ni nchi..kuwa na roho ya kungangania kitu...ntakupa maneno ya kuomba na kusoma ukiwa unangangana mungu akutoe matatizo yako..asafishe nyumba ndogo zinazosumbua huyo mtu kuingia saa sita usiku tangu mtoto anazaliwa mpaka anakua anamwita mjomba ..huoni aibu jamani..kachanga umehangaika kiuno mwenyewe hataa kukaanacho mida kidogo unaona dili kushinda kwenye bar ..na kurudi usiku ondoa huo msiba ondoa nasema leo airudi tena laiti ungejua umuhimu wa leo usingesubiri kesho..anza leo kujireekebisha..leo hii kumejaa mahema mengi ya maisha ya ndoa tunayabomoa kwa jina la yesu kristo alie hai...

  Soma 2wasesalonike 1:6-10
  ni haki yako kupata raha usikubali kuambiwa nabaddhi ya wachungaji endele kususbiri wakati wanaendesha mashangingi,,wanajaza nyumba zao..na wewe ana maombi ya kungangana...usikubali kusubiri mbona yeeye akusubiri...???ukisoma hapo juu ni haki yako kuwa na raha ya milele..nakwambia kila nisalipo mi huwa napga return to sender...kila anaepanga magonjwa juu yangu..kuaharibu ndoa yangu anaepigana na mimi kazini mwangu pangua ukiwasubiri wanakumaliza ndoa nyingi zinasubiri yalipuke waanze kukimbilia makanisani poleee weeeeeeeyeeee

  siku ya kwanza kuolewa tangaza maombi ukiwa hnymoon..nakwambia mumeo kama aliyabeba toka kwa nanii zake wataanza kulipuka seacliff hotel baibo inasema si vyema kuishi bila msaidizi huyo ndie msaidizi wako uliepewa na bwana.....ukiingia kwenye ndoa mwambie mungu akauna mwanamke mzuri zaidi yangu atakaeonekana mbele ya mume wangu nyie mnakaa kimya mnasubiiri kucheza na sms wamekuwa wajanja nao akifikakukaribia nyaumban anafuta zote kuanzia kwenye call centre mpaaka msgs...unabaki mungu mbona unionyeshi basi..mwambie amrekebishe amscrew kama possible kubomoa hema ni garama best unaitaji kuligaramia kweliiiiii kweliiiiiiiii mmhh folen hiyo ngojaniiwah haya mungu akuwezeshwe kuiona tena kesho
   
 2. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Heeee naitaji shule ya bible,
   
 3. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Heeeeeee wajamani, mahema tena ya nini mbona unatutisha?
   
 4. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ubarikiwe sana
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  gaga
  mns zilishakufa mahema yako nje watu wanaogopa kuyasogolea
   
Loading...