Familia kubwa zaidi duniani: Wake 39, Watoto 94 na Wajukuu 33

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,602
5a969a35cced93c6711a8c4c5f14494e.jpg


HII NI FAMILIA YA ZIONA MWENYE WAKE 39 NA WATOTO 94 WAJUKUU 33..
c945c3f95589c16521580e89fa190a68.jpg


HII NDO NYUMBA YA ZIONA ANAYOISHI NA FAMILIA HII
4773cfd3505dd2e79445d9b8552422f8.jpg


HAO NI WAKE ZAKE 39 MR ZIONA KUTOKA CHINA
4ec1f36b9c66e9ba152ca9c1d05eb75b.jpg


HAPA NDIPO WANAPOLALA FAMILIA YAKE YOTE KWA NDANI YA NYUMBA YAKE
NA AMESEMA KUWA BADO ANA MPANGO WA KUONGEZA WAKE WENGI ZAIDI TENA AMESEMA ANATAKA KWENDA UINGEREZA KUPATA MKE MWINGINE.

=======

The world’s largest family consists of a man with 39 wives, 94 children, and 33 grandchildren



THE WORLD’S BIGGEST FAMILY

  • Ziona Chana lives with all of them in a 100-room mansion
  • His wives take it in turns to share his bed
  • It takes 30 whole chickens just to make dinner

He is head of the world’s biggest family – and says he is ‘blessed’ to have his 39 wives.
Ziona Chana also has 94 children, 14-daughters-in-law and 33 grandchildren.

The family all lives together in a 100-room house in Republic of India wherever the wives all sleep together in large dormitories! On any given night, it will take thirty chickens, 132 pounds of potatoes, and 220 pounds of rice to feed the 181-member family. the head of the household, Ziona Chana, is part of a spiritual sect that allows its members to own as many wives as they want…and he’s constantly looking for more! At one point, he even married ten girls within the span of 1 year. Chana sleeps in his own double bed and rotates that wives get to share it with him on a nightly basis – usually, however, the youngest girls sleep nearer to his area whereas the older ones sleep more away.

Check out this article for pictures of this huge family


The full monty: The Ziona family in its entirety with all 181 members


You treat this place like a hotel: With 100 rooms, the Ziona mansion is the biggest concrete structure in the hilly village of Baktawng in Mizoram, India
article-2051433-0E73BD4F00000578-160_964x576.jpg

We're gonna need a bigger car: Ziona's family members wave from the back of a truck on their way to church

Feeling peckish? The senior ladies of the Chana family show what it takes just to make a meal


The wives and me: Mr Ziona Chana poses with his 39 wives at their home in Baktawng


Shared bedroom: A look inside the four-storey mansion, Chhuanthar Run – The House of the New Generation.

Chanzo: The world's largest family consists of a man with 39 wives, 94 children, and 33 grandchildren - Interesting Facts
 
Kuna jamaa nilisikia kaanzisha adi shule yake kwa sababu ya idadi kubwa ya watoto na wajukuu mwenye data kamili atuwekee hapa
 
Wake 39 ,watoto 94

Mbona watoto wachache hivyo ukilinganisha na idadi ya wake

Mie babu yangu alikuwa na wake 4=watoto 25 ,wajukuu hatujuani

Huyu baba naye miyeyusho wake 39=watoto 94? Mbn watoto wachache hvy
 
Mambo kama haya usipoweza kucontrol unaweza kuona watoto wanapanda wemyewe
 
Bado sana, hapo ukikadiria kila mke ana watoto wawilii kwa watatu.
Inatakiwa kila mmoja awe na watano kuendelea
 
Back
Top Bottom