Familia hii ipo juu! Sisi wengine tumeenda chaka!

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
159
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi an Teknolojia January Makamba akikaribishwa makao makuu ya Vodacom Tanzania na Ofisa Mkuu wa Mahusiano na Mauzo kwa Wateja Wakubwa waVodacom Tanzania Mwamvita Makamba. Naibu Waziri Makamba alifanya ziara ya utambulisho Vodacom na kukutana na Uongozi wa kampuni hiyo.
 
Hongera zao.
Tahadhari mkuu, mie familia yangu haijaenda chaka, we have all that we need to be a family: love and respect for each other.
 
Tuache majungu,ata kama wamebebwa ni kutokana na wao kwenda Shule.somesheni watoto wenu acheni wivu wa kijinga!
 
Hongera zao.
Tahadhari mkuu, mie familia yangu haijaenda chaka, we have all that we need to be a family: love and respect for each other.

Pia kila mbuzi anakula kadiri ya urefu wa kamba yake!
 
Ctegemei kuwa ipo siku Mwana Hasha JK akamkaribisha R1 kama hivi

Kwanini usifikirie wewe kuja kumkaribisha ndugu yako hivi na siyo kufikiria wengine waliopo leo ila wanaishi mwaka keshokutwa!
 
Ndo raha ya kusomesha watoto.We unafikiria mzee makamba akiona hii picha anajisikiaje?Utaaaamu ehhh
 
Aliyenacho anaongezewa zaidi. Asiye nacho hata kidogo alichonacho ananyang'anywa
 
Bwana huwaangazia huwaangazia jua wema na wabaya hivyo usishangae sana,subiri siku ya kiama ndio utaona usawa wa wanadamu wote.
 
Ndo raha ya kusomesha watoto.We unafikiria mzee makamba akiona hii picha anajisikiaje?Utaaaamu ehhh
Kwani wana elim gani? Kama ni ka degree hata sie tunako tena kupitia bodi ya mikopo ila mpaka sasa tupo mitaan
 
Back
Top Bottom