Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
FALSAFA YA MSIGWA ILIVYOCHOCHEA UKUAJI WA MAENDELEO IRINGA MJINI
Iringa Mjini ni kati ya majimbo yenye mvutano mkubwa wa kisiasa hasa kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Hata hivyo, katika uchaguzi wa mwaka juzi, Chadema ilifanikiwa kuzoa viti vingi vya udiwani vilivyowawezesha kuongoza baraza la madiwani wa manispaa hiyo ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuanza kwa vyama vingi nchini.
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa anasema mvutano mkali wa kisiasa kwenye jimbo hilo siyo changamoto, isipokuwa ni fursa ya kukifanya chama chake kiendelee kuongoza.
Mchungaji huyo anasema jukumu kubwa walilonalo ni kutekeleza ahadi walizotoa kwenye kampeni ya mwaka juzi kwa vitendo na kwamba kazi kubwa kwao ni kuwafundisha wananchi kuvua samaki na siyo kuwapatia samaki waliovuliwa.
Yafuatayo ni mahojiano yaliyofanywa baina ya Msigwa na mwandishi wetu kuhusu hali ya kisiasa nchini na namna alivyoweza kutekeleza ahadi zake jimboni humo.
Mwandishi: Unauonaje mwelekeo wa siasa za Tanzania kwa sasa hivi?
Msigwa: Mwelekeo wa siasa za nchi yetu hivi sasa hasa kwa uongozi uliopo madarakani ni wa kudumaza demokrasia..... Soma zaidi hapa Falsafa ya Msigwa ilivyochochea ukuaji wa maendeleo Iringa Mjini