Falsafa ya kubana matumizi kwa Serikali za Afrika

usiambini

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
627
558
Rais Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefutilia mbali uchaguzi wa hapo December 2016 kwa madai ya kubana matumizi.

Imedaiwa pia Serikali hiyo inataka itumie fedha zake yenyewe na sio za wafadhili.

Chanzo: ITV

ImageUploadedByJamiiForums1461561195.777154.jpg
 
Safi sana kwa kutumia pesa za walipa kodi vizuri! Uchaguzi gharama endelea kutawala hata ukifanyika hawatashinda.
 
Rais Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefutilia mbali uchaguzi wa hapo December 2016 kwa madai ya kubana matumizi.

Imedaiwa pia Serikali hiyo inataka itumie fedha zake yenyewe na sio za wafadhili.

Chanzo: ITV

View attachment 342178

tpfaotisha kubana matumizi na kukosa fedha. hawa jamaa hawana fedha, ila magufuli anabana matumizi kwenye mambo yasiyo yamsingi ili fedha zitumike maeneo ya msingi.
 
habari jf
Tatizo hapa ni kutokuwepo kwa shuguli za kufanya mzunguko wa pesa uwe mkubwa kwa watu hasa wa kipato cha chini mamantilie, wachuuzi na wafanya biashara wengine, ko serikali ingalie namna ili haya makundi yasilie ukata!
NI maoni tu.
 
Habari wana jf
naishauri serikali iruhusu shughuli ambazo zinaweza kuchamgia ktk mzunguko wa pesa lakini kwa kudhibiti upotevu na matumizi mabaya ya pesa hizo na si kuzisimamisha kabisa
ahsante!
Wacha wazichukue tubaki bila coin ili wasikie raha
 
HATA pesa za wasimamizi, wasahihishaji WA mitihani ya Mock MARA zimeyeyuka. Pesa za likizo ya Juni 2016 zimeyeyuka hadi Leo. Kweli tutaisoma NAMBA
 
Kufuta ajira na kudai hatuna uhaba wa madaktari ndio maana hasa ya kubana matumizi.
 
Aliahidi Elimu Bure mpk Form six... Sijui kila Mwezi anatuma Billion Ngapi...

Lazima Abane Matumizi Apeleke hela Huko
 
Hii Jf sasa inaelekea ICU. Kwa mada km hizi ni kujaziana thread humu. Moderators pse mchague mada zenye tija ili kweli jukwaa hili liwe home of great thinkers. Vinginevyo litakuja kuwa jukwaa la mipasho badala ya facts.
acha kujifanya mjuaji we unataka adi mtu uandike kurasa nzima
 
Watu wanauliza matokeo ya kubana matumizi ni nini. Kwa mfano tumebana matumizi ya fedha za serikali na kuwaunganishia maji wananchi milioni 2; au tumebana matumizi na kisha kuondoa kabisa tatizo la foleni katika jiji la Dar. Huwezi kuongelea kubana matumizi kama hatua hiyo haifuatiwi na positive results.. Ningefurahi sana kama kubana matumizi pia kungehusishwa na kutatuliwa kwa tatizo la madawati katika shule zetu... vitu kama hivyo ndivyo unaweza kujivunia. Zaidi ya hapo ni kutupotezea muda wetu...
 
Back
Top Bottom