Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,892
- 32,308
- Thread starter
- #21
Hahahahaha naona unaangaika kila thread wewe na huyu mchawi au ulikuwa mteja wake nini, jibu hoja kama una endelea kuombeleza sisi tupu huku tunajadili Wabunge 23 wa Chadema kama unaweza :welcome:Huyu ndio mpiga ramli wa ccm, halafu unasema haupo kwenye maombolezo? chunga kijana angalia usije ukaondolewa kwenye payroll ukakimbia mji kijana. hata kama unalipwa per post ukiwa JF, si vibaya posho za leo ukazisamehe ili ungaane na wenzako ambao wana msiba mzito wa huyu mchawi Sheikh ubwabwa.