Fally Ipupa amshirikisha Diamond Platnumz kwenye wimbo wake mpya

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,382
Nguli wa muziki wa Africa kutoka DRC Congo mwenye makazi yake jijini Paris Ufaransa amefanya collabo na mkali wa Africa Mashariki Diamond Platnumz, kazi hiyo imefanyika jijini Paris wakati Diamond akiwa kwenye mapumziko mafupi na familia yake.

fally.png

fally2.png

fally3.png

fally4.png

Diamond pia alipata nafasi ya kutembelewa na wakongwe wa muziki Awilo Longomba na Papa Wemba.
 
Huyu kijana haiwezekani ikawa ni nyota peke yake, inawezekana kachanganya jua na mwezi.
Ni kawaida kwa Mungu kumuwezesha zaidi yule anayechukiwa na wengi bila sababu za msingi, ili kuwaonyesha kuwa chuki zenu zidi ya kiumbe changu asiyenikosea hazina maana. Ila kama wanachokuchukia waja kina maana basi huchukui muda unapotea. Na tutarajie mambo mazuri mengi kutoka kwake, yalishasemwa sana haya ya si bure kuna kitu lakini kijana anazidi kusonga mbele.
 
Nguli wa muziki wa Africa kutoka DRC Congo mwenye makazi yake jijini Paris Ufaransa amefanya collabo na mkali wa Africa Mashariki Diamond Platnumz, kazi hiyo imefanyika jijini Paris wakati Diamond akiwa kwenye mapumziko mafupi na familia yake.

View attachment 334232

View attachment 334233

View attachment 334234

View attachment 334235

Diamond pia alipata nafasi ya kutembelewa na wakongwe wa muziki Awilo Longomba na Papa Wemba.
Alitembelewa na Awilo au yeye ndo aliwatafuta?si tunaangalia tu movie tunaelewa jamani?kha!
 
Huyu kijana haiwezekani ikawa ni nyota peke yake, inawezekana kachanganya jua na mwezi.
Nakwambia hata mimi naweza kama sio nyota basi hadi reli kabonyeza,
Mzee wa hifadhi yuko wapi? Au bado anachunga ndovu wetu serengeti!?
 
Katembelewa au kawatembelea? Odinga kamtembelea Magufuli
 
Yani leo hii ndio imekuwa topic wakati Kingkiba kafanya collabo na Fally pupa tangu 2014 tunasubiria tu mtoe utumbo wenu then sisi tutoe ili mjifunze namna ya mziki ulivyo, hahahaha team promo mna kazi sana.
 
Mweewh..! inamaana kwa kuwa kiba kashatoa kolabo na Fally ndo Mondi asitoe.? tena anashirikishwa na sio anashirikisha inamaana kuwa ametafutwa na sio kutafuta. mbona tulisikia alikiba anataka kufanya kolabo na neyo mpaka leo kimyaaaa,mara na davido mpaka leo kimyaaaa...! mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. mondi kwa sasa yupo mbali zaid ya msanii yoyote Afrika mashariki. you heard.!?
 
Yani leo hii ndio imekuwa topic wakati Kingkiba kafanya collabo na Fally pupa tangu 2014 tunasubiria tu mtoe utumbo wenu then sisi tutoe ili mjifunze namna ya mziki ulivyo, hahahaha team promo mna kazi sana.
Maskini ukisikia mtu anatoa kafara ili afanikiwe bas kiba kamtoa uyu jamaa kawa msukule

Maskin kadanganywa kiba kafanya collabo tang 2014 ad leo bado anasubiria

Maskini anaumia kwann collabo haitoki mwaka wa pili saiv kaishia kuondoa stress kwakuponda collabo ya fally na diamond,

Maskin kasahau uyo fally anaeliliwa na kiba wafanye collabo, yy ndo anamlilia diamond wafanye collabo

Maskini ona atakavojibu hii comment
 
Back
Top Bottom