Falling in and out of love... Is it a human nature or culture?

Kitatange...not always that you'll have to choose between the two alternatives...other things works antagonostically..

All in all we are living to fill each others bits guys...hata kama sipo fit kwa hili...nipo fit kwa lile...these wajombaz should know that..waishi kwa kuchukuliana, i hate leakages in love...kinomaaa!!!

Mmenipata hapo kwenye difference btn mapenzi and mapendo?kitatange and the rest..
 
Hali hii huwatokea binadamu wote ila hatua za kuchukua zinatofautina kwa mtu na mtu na sehemu kwa sehemu kulingana na sababu tele tu ikiwemo ya tamaduni zetu.

Kwa mtazamo wangu sio talaka wala nyumba ndogo ni kimbilio la 'feelings' kama hizo. Njia sahihi katika mahusiano ya ndoa siku zote ni kukumbuka tu kuwa 'LOVE IS AN INVESTMENT' i.e. don't fall in LOVE, but rather invest in it.

If you invest in LOVE, you will never ever abandon your best half in favour of entertaining pleasant or unpleasant 'feelings', which briefly come off and disappear just like orgasm!

Baada ya kumsoma Mubelwa and after what offish has just said I would conclude this way;
Love ( mapendo) well kweli they can't be explained kwa wale wanaosoma bible kny wakorinto somewhere wamejaribu. And this thing is a long term or a life time thing. Haina masika wala kiangazi meaning haiyumbishwi na strength wala weakness za mwenza wako it accepts him/ her wholly. Infatuation ( MAPENzi) on the other hand has a duality nature kuwa yana opposite, kuwa kama yalivyoanza siku moja yataisha. Kama alikuwa mwembamba ukapata mapenzi siku akinenepa yataisha. But ukiwa na upendo siku mapenzi ya kiisha kwa sababu amenenepa utakuwa na courage ya kuvuka hayo mapito mpaka itakapoibuka sababu nyingine ya kumtamani ( ya mapenzi) ndio nature ya mapenzi hiyo up and down so at a time kuna high notch at a time a low one. And the secret about love begins in loving yourself (Accepting yourself wholly) Ni ngumu sana kumaccept mwingine kama wewe mwenyewe hujiaccept. And wataalamu ( Spiritual gurus) wanasema what we seek outside is what we think we lack inside. Kwahiyo we are attracted kwa watu wengine because we need to feel wanted ( there is a lack inside us). So when what we feel we lack cannot even be attained from someone else then we have to look somewhere else and this is because the feeling of lacking inside us never gets satisfied, we always want more. Until we learn to accept ourselves that we have the feeling of lacking but its okay I love myself that way. Then we will see the deeper beauty of other and we wont only fall in love for a while but also love them
 
Kuwa muwazi na kumweleza mwenza wako ni condition inayotakiwa ku-prevail since mnaanza kuwa close..so leakage kama hiyo ingekwisha kuwa solved without knowing....people wanaingia kwenye mambo haya kwa ufisadi and so hata ikitokea issue kama hii wanaanza kufikiria abt kufichaficha...tujifunze kujipasua na maukweli since at start guys...i promise nkianza i will
 
Back
Top Bottom