bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,667
Ndo kusema wapinzani washajua mbinu za Luis enrique tangu afungwe na Man city UEFA cup hana matokeo mazuri kivile nyumban kaenda sare dhidi ya Malaga na Real Sociedad
Mwenzake Zidane ni Kicheko akiwa ndo kwanza Anaongoza ligi,Na wakitarajia kukutana 3 Dec Madrid anaonekana yuko vizuri zaidi akichagishwa na ushindi wa Goli 2-1 dhidi ya Gijon
Na ukiangalia kikosi cha Jana cha Barcelona nahisi kilikua kikitafuta mfumo na mbinu tu dhidi ya Game ya Tar 3 Dec sitarajii kuona mabadiliko Makubwa Kivile
Japo mechi za hawa jamaa hazitabiriki dk 90 ndo zinaamua matokeo pindi wakutanapo hawa wakali wawili
Je Luise Enrique Anatakiwa kubadili Mbinu zake?
3 Dec sio mbali sana mwenye kumiliki Kisu kikali ndo Atakula Minofu Zaidi