Fall of Luis Enrique and the rise of Zinedine Zidane

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Ndo kusema wapinzani washajua mbinu za Luis enrique tangu afungwe na Man city UEFA cup hana matokeo mazuri kivile nyumban kaenda sare dhidi ya Malaga na Real Sociedad

Mwenzake Zidane ni Kicheko akiwa ndo kwanza Anaongoza ligi,Na wakitarajia kukutana 3 Dec Madrid anaonekana yuko vizuri zaidi akichagishwa na ushindi wa Goli 2-1 dhidi ya Gijon

Na ukiangalia kikosi cha Jana cha Barcelona nahisi kilikua kikitafuta mfumo na mbinu tu dhidi ya Game ya Tar 3 Dec sitarajii kuona mabadiliko Makubwa Kivile
Japo mechi za hawa jamaa hazitabiriki dk 90 ndo zinaamua matokeo pindi wakutanapo hawa wakali wawili

Je Luise Enrique Anatakiwa kubadili Mbinu zake?

3 Dec sio mbali sana mwenye kumiliki Kisu kikali ndo Atakula Minofu Zaidi
 
Tangu iniesta alivyoumia barca pale kati wanapoteana kimtindo...yule alikuwa mbunifu sana
Iniesta mtu muhimu sana pale Barcelona pengo lake akikosekana ni ngumu kuzibika

Naona Modric Kapona sijui Casemiro kama ataku fiti ila Bale naye majeruhi
 
Elclasico barca atashinda ikiwa zizzou kafukuzwa tu jamaa anajua kucheza gemu kubwa hasa zenye presha na amsha amsha
 
Eeh!
Kama mechi hizi mbili za mwisho Barca wanaokolewa na marefa, hasa mechi ya jana refalona ilipaswa wafungwe.
Halaf enrique mwenyewe anaonekana naye mikakati ime muishia labda wamesha shinda mno sasa wanaona mwaka huu wasichukue ubingwa
 
Tangu iniesta alivyoumia barca pale kati wanapoteana kimtindo...yule alikuwa mbunifu sana
Lakini mbona mwenzake Gadiola alitengeneza viungo wengi tu mpaka wengine walikua bench nadhani Luis uwezo wake mdogo na kuna tetesi kuna coach aliekua timu B huenda akapewa timu maana hata wale watu watatu hodari kwa sasa ile spidi yà kufunga imepungua
 
Philosophy ya barcelona haibadiliki, wao ni tik tak kwa kwenda mbele. Tangu enzi za marehemu Johann Cruffy mpaka ridjkaard, kwenda kwa Gandiola kujaa kwa Luis Endrique barca aibadilishi style ya uchezaji.

Tatizo ninaloliona kwa sasa ni usajili mbovu unaofanywa bila kuzingatia ubara wa wachezaji.

Ref Mathew
 
fuatiia historia ya barcelona kwe uwanja ule utaona kuwa huwa hapatag matokeo pale maana mara ya mwsho cjui alishnda mwaka gan..na hata jana walikua wanafyngwa ile game sema kibendera kawaokoa maana goli lililkataliwa lilikua halali kabisa pia nafkiri timu imeshiwa pumzi maana mwaka juzi walichukua vkombe vyote bya mashndno walioshiriki na mwaka jana pia wamechukua vyote kasoro uefa
 
Mkuu umeongea pointi sana naona kama La Masia inaanza kufa hakuna Vipaji tena toka pale na hata wakitoka wengi wao huuzwa
Jamaa hawana maskauti wazuri anza Kipa Cillesen,Vidal,Labda Digne kidogo na Umtiti Tangu waige sera ya Madrid ya Kusajili badala ya kuzalisha Vipaji vyao timu haijatulia kabisaa
 
fuatiia historia ya barcelona kwe uwanja ule utaona kuwa huwa hapatag matokeo pale maana mara ya mwsho cjui alishnda mwaka gan..na hata jana walikua wanafyngwa ile game sema kibendera kawaokoa maana goli lililkataliwa lilikua halali kabisa pia nafkiri timu imeshiwa pumzi maana mwaka juzi walichukua vkombe vyote bya mashndno walioshiriki na mwaka jana pia wamechukua vyote kasoro uefa
Najua Real Sociedad wanawasumbua sana barca hata Kipind Moyes yupo nafikir kuna game walitoa draw aya vipi na Malaga?
Hata mpira wanaocheza kwa sasa sio mtamu kivile
 
Lakini mbona mwenzake Gadiola alitengeneza viungo wengi tu mpaka wengine walikua bench nadhani Luis uwezo wake mdogo na kuna tetesi kuna coach aliekua timu B huenda akapewa timu maana hata wale watu watatu hodari kwa sasa ile spidi yà kufunga imepungua
Mkuu naona Kama Luis Enrique timu imekua kubwa kuliko yeye japo kawapa kikombe ila zile touch zao zimepungua sana na hii sera yao ya kusajili ovyo ovyo wanataka kuwaiga real madrid sijui La Masia haitoi vyombo tena
 
Enzi za Guandiola aliwahi kupanga kikosi cha wachezaji wote waliopita la masia isipokuwa Eeick Abidal na Dan Alves. Wengine woote waliokota mpira pale la masia wakiongoza na captain puyol.
 
Philosophy ya barcelona haibadiliki, wao ni tik tak kwa kwenda mbele. Tangu enzi za marehemu Johann Cruffy mpaka ridjkaard, kwenda kwa Gandiola kujaa kwa Luis Endrique barca aibadilishi style ya uchezaji.

Tatizo ninaloliona kwa sasa ni usajili mbovu unaofanywa bila kuzingatia ubara wa wachezaji.

Ref Mathew
Pacco
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom