Fake US embassy in Ghana shut down

Ni maajabu na kweli kuwa ubalozi wa USA nchini Ghana uliokuwa unafanya kazi kwa miaka zaidi ya kumi.
Jengo hilo ambalo lilikuwa na bendera ya USA na kutoa Huduma ya visa mpaka $6000 na passports za aina nyingi, mtandao huo ulikuwa unaendeshwa na waturuki na waghana.
 
Back
Top Bottom