Fake interpreter kwenye msiba wa mandela...dah..

Yeah nimeiona hiyo. Kuna mambo mengine hayakunifurahisha kwenye hiyo memorial

Kwa mfano watoa hotuba kusoma hotuba zao kwenye mikaratasi, hususan Zuma ambaye hotuba yake ilikuwa ndefu zaidi na hivyo kuwa na mikaratasi mingi zaid.

Walishindwa nini kuweka teleprompter?


Mpangilio ulikuwa mbovu
kila mtu anarudia historia hiyo hiyo tu
msemaji wa kwanza alikuwa bomu kabisa hajui hata itifaki
mara aseme 'the president of Unite Nations'
alianza kuwachosha mno watu...
 
Yaani bora jk hakuongea maana naye na kile kigugumizi angeharibu mnoooooo
 
kunamengi sana yalikuwa hovyo ila hilo la Fake interpreter ni balaaa
 
Huyo interpreter nimeona BBC wakimzungumzia kwamba alikuwa ni feki na hakuna chochote alichokuwa anatafsiri. Malalamiko hayo yametolewa na chama cha viziwi, South Africa na hawajui waandaaji walimpatsje na wapi.

Tiba
 
Nimeiona hiyo...............I was like what the heck was he thinking? !!!!!!!!!
Lying in front of the mass....
 
Back
Top Bottom