Elections 2010 FAKE: CHADEMA walichukua jimbo la Mbeya vijijini

Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Brodas and Sistos, you mek me wanna!
 
Mwingine aliyeangalia tbc1 aconfirm hapa! Bei ya dawa za presha ni ghali mno hapa Bongo!!
 
CCM walichakachua kura za maoni za yule mzee wa TAMISEMI wakampa nafasi mchungaji kilaza sasa discipline wameipata kwa CHADEMA. Wera wera CHADEMA waka waka! Mwaka huu tutapata raisi asiyekuwa na bunge
 
ccm walichakachua kura za maoni za yule mzee wa tamisemi wakampa nafasi mchungaji kilaza sasa discipline wameipata kwa chadema. Wera wera chadema waka waka! Mwaka huu tutapata raisi asiyekuwa na bunge

kama walivyofanya iringa kwa mwakalebela imekula kwao
 
Ccm pamoja na kuchakachua kura za urais bado wanaumia kwenye ubunge wanachakachua huku tunawagonga kule
 
Jamani nimeongea sasa hivi na jamaa aliyekuwa mpambe wa Shitambala, anasema siyo kweli....pliiiiz men
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom