FAKE: American e-Visa for the Citizens of Tanzania (Press Release)

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Kuna ujumbe unasambaa kwa kasi kupitia WhatsApp ambapo wengi wamedhani ni ujumbe wa kweli lakini ni wa kutungwa tu.

Ujumbe huu una sahihi ya Oprah Winfrey!

6bc9c32f-dcf2-40cb-8a29-07aebc7396a3.jpg


Tafadhali ukiona mtu anausambaza, mfahamishe NI UONGO.
 
Sijaona mtu ausambaze ila naomba nijuzwe tu lengo lake Ni kuwataka watu wafanyaje
 
Back
Top Bottom