Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

January tusamehe hadi Faiza Foxy anatafuta pa kudanga!!!
Shangazi anatupigisha stories za kuotea moto saa tatu usiku huku tunabugia mahindi ya kuchoma. Ukiwa serious, shangazi atakusababishia kifaduro cha ukubwani kwa kucheka. Easy, easy boss! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hapo ndiyo nashangaa mimi.

Watu wana nyege mshindo. Hao ndiyo ukisikia hata kuku wanabaka.
Kwakweli mie ni mfuasi wako mtiifu kabisa navutiwa na napenda sana kufatilia nyuzi zako hivyo sio mbaya kwanza nikawa mwanafunzi wako namna ya kupambana kwa hoja na great thinkers,wajinga mabaradhuli n.k.Mie nakupendaga bureee tu Faiza Foxy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 WAKORINTHO 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Naam...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom