Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 33,602
- 53,575
Shangazi acha fujo. Mimi niliomba nikuoe ukajibu ushaolewa huna haja na ndoa inakaribia miaka 40.Mimi nimejitoa nabaki kuzungusha shingo na macho kiaina.
Khaa!!!? Tuendapo utawaambia vijana wa kiume wacheze magoma ya msusumio.Humu zungusha hata makalio, ruksa!
Shangazi lazima umepokea takrima ya khanga na kofia. Si bure. Unatumika na mabeberu! 😂😂😂😂😂Wacheze tu.
Huachii fursa? 😂😂😂😂😂Wamefika watongozaji wangapi dada mkubwa? Naomba first runner up unisikumizie ndani manake naona PM yangu hawaioni.
Heri ya mwaka mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini usimpe mwanasesere?Mtoto akililia wembe...
Hakuna hata mmoja. Wote wameufyata kwa elfu kumi tu.Wamefika watongozaji wangapi dada mkubwa? Naomba first runner up unisikumizie ndani manake naona PM yangu hawaioni.
Heri ya mwaka mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!? Aminia. Hiyo ndiyo bora kenda shika nenda kuliko kumi usoiona! 😂😂😂😂
Na sisi wajukuu tunaruhusiwa..?? Bibi cheka niniWale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Yaani na uzee wako wote hujakusanya pesa za kutosha bado unaomba..!Una pesa?