Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Shangazi acha fujo. Mimi niliomba nikuoe ukajibu ushaolewa huna haja na ndoa inakaribia miaka 40.Mimi nimejitoa nabaki kuzungusha shingo na macho kiaina.
 
Vijana hawajitokezi. Wanaogopa watapigwa baridi ya kichwa kwa kuunda mahusiano na "msichana mzee"!😂😂😂😂😂😂
 
Nimekupenda sana mtoa mada hujali matusi yao lakini umewapa kile roho inapenda yaani ndio nzuri sana kabisa na enjoy kuona unavyowaonyesha kuwa wewe ni mtu mzima na unajitambua.
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Na sisi wajukuu tunaruhusiwa..?? Bibi cheka nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
206 Reactions
Reply
Back
Top Bottom