Umenishinda tabia MamaNimeshajaribu mboga yake, tamu kweli, niliipika kwa nazi. Gozi kila siku linaikumbushia.
Salam zako zitafika ukhty japo yumo humu ndani atakusomaMpe salaam zangu.
Hongera zako na mtunze huyo binti maana huyo atakuwa ni binti mwenye akili nyingi sana.
Wajinga wajinga huwa hawanipendi.
Kutongoza kunahitaji faragha mama, halafu umri siyo ishu sana kwenye hayo mambo!!Mwanamke bila kutongozwa haiji, hata posa ni kutongoza amma ukubaliwe amma ukataliwe.
Sema mijitu haina adabu, mtu mzima mke wa mtu zaidi ya miaka 40 anaweza kukuzaa huku anasuka, wewe kinyangarakata unajidai kumtongoza, Wengi hata senti za voucher mpaka wapige mzinga.
Sasa waje hapa, waoneshe utongozaji wao.
Faragha ya nini? Kufanya haramu ndiyo kunahitaji faragha.Kutongoza kunahitaji faragha mama, halafu umri siyo ishu sana kwenye hayo mambo!!
Wewe fikiri upendavyo upo huru. Au una wasiwasi na Uhuru wako wa mawazo?Bibi ni kweli unawaita wanaokusumbua PM au ni kwamba umeona aibu kuweka tangazo kule love connect?
Sent using Jamii Forums mobile app
usishangae labda anapenda utamu wa maajuza. kila mtu na ugonjwa wakeNataka niwafundishe heshima na adabu ya kuheshimu nyuzi na mada za watu. Utakuta jukwaa la siasa mtu eti anakutongoza. Alaaa.
Kwani kutongoza ni haramu bibie?!!Faragha ya nini? Kufanya haramu ndiyo kunahitaji faragha.
Kama unaona ukitongoza hufanyi haramu basi wewe tongoza tu, wazi wazi. Sijaona mnyama akijificha anapotongoza na hata wanapoingiliana. Vipi kitendo cha kinyama kiwe faragha?
Unayo pesa? Kiingilio 10,000
Unayo pesa? Kiingilio 10,000