FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa


FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
61,366
Likes
29,274
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
61,366 29,274 280
1 WAKORINTHO 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
12,521
Likes
13,021
Points
280
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
12,521 13,021 280
1 WAKORINTHO 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Naam...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
12,521
Likes
13,021
Points
280
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
12,521 13,021 280
Faiza....! Si rahisi sana japo inawezekana kwa mtu kua na hisia na mapenzi ya dhati kwa mtu pasi na kumuona.

Si kwa uzuri wa sura wala maumbile yako, si kwa ukubwa wa jina wala umaarufu wako.........
Ila Hekima, Busara na uwezo wako mzuri wa kufikiri na kuchanganua mambo ndivyo vilivyo nivutia kwako.

Bubu mwenye kinywa kizuri hakika maneno yako yameijenga taswira yako katika fikra zangu,
Nifanye niwe wako tafadhali..........!

Naahidi....... Nitakupa utulivu na nitakuongoza vyema.
Aaamin...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
12,521
Likes
13,021
Points
280
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
12,521 13,021 280
Haya punguani mwengine huyo anataka nimuoe.

Una pesa?
Bi khadija (40) alipomuoa Mtume Muhammad (S.A.W) (25), Mtume alikuwa na pesa yoyote?

Ni Qur'an ipi imekuelekeza kuwa pesa ni zingatio muhimu katika kuoa zaidi ya Dini?

Huu Uislam wako huwa unashangaza sana...Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msolo

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Messages
1,106
Likes
1,023
Points
280
Msolo

Msolo

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2008
1,106 1,023 280
Mkuu katika siku umeanzisha nyuzi ya kitoto ni leo?

Hii nyuzi imekaa kikahaba sana, hua nimekueka group la wanawake wenye ubongo mkubwa sana humu Jf ...but not anymore

Naanza kuamini wengi wa wasichana jf hawana utofauti na wale wa badoo,sema ndo vile baadhi wanajitahidi sana kujificha hadharani ila ukimuotea angle yake utakuta ni walewale...leo mkuu umeteleza sana,au ulikua unapost ktk ID ya matukio bahati mbaya umepost kwa ID yako ya heshima?

Narudia tena...Huu uzi ni wa kitoto mno...

Sent using Jamii Forums mobile app
Relax Mkuu, easy your mind, don't be that serious. JF ni sehemu ya ku-enjoy pia.
 
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Messages
2,343
Likes
1,721
Points
280
Age
27
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2013
2,343 1,721 280

WAKUU,

SISI WANAUME WA DODOMA TUNAOTOA MAHARI MILIONI 8
WAKATI WANA WALISHADUFUA GOMA KINOUMAH KWA CHIPSI KAVU ZA BUKU NA MAJI YA KANDORO,
TUNARUHUSIWA KUKOMENTI HAPA?Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isengelo

Isengelo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2017
Messages
202
Likes
178
Points
60
Isengelo

Isengelo

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2017
202 178 60
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Na mimi nataka nikutongoze, wewe mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,250,498
Members 481,371
Posts 29,735,723