FaizaFoxy, Mwita25, MalariaSugu, Freedom Is coming... I am out of CCM

@FaizaFoxy, : Dadangu, hata mie nimezaliwa na kulelewa ndani ya CCM. Nadhani tunahitaji mabadiliko. Sijui unafanya kazi serikalini, au wapi, Mie nafanya Private Sector, lakini baba yangu mzazi ni Waziri kwenye serikali ya Kikwete. Mama ni mtumishi wa serikali pia, lakini nakiri kwamba mabadiliko ni muhimu. Nimeondoka asubuhi na mapema kuja Arusha kujiunga na Wanaharakati na hali ambayo nimeikuta inasikitisha tamaa. Sitaki siasa za majungu za Ngeleja za kuchafua watoto wa makamba

Hebu fikiria tuliowapa madaraka wanavyojilimbikizia mali kwa wizi. Hebu tazama raia wa kawaida wanavyoonewa. Hali inatisha kwenye mahospitali, vyuo vikuu. Nchimbi katoa wapi utajiri wake, Loawassa, Chenge, Kikwete, Msekwa, Wakina Kinje Mwiru, Wakina Abdala kigoda listi ni ndefu. Watu wa EPA wanadunda mitaani, Richomnd hawajulikani. Dowans ni mapepo, TCRA, UDA listi ni ndefu aliyewajibishwa? Hakuna. liumba kaenda jela kwa sababu ya Demu siyo Ufisadi. Nchi gani hii Dada yangu? unachotetea ni nini? Ardhi inauzwa, rasilimali zetu zinachotwa, Rais ni kuzurura tu cha maana anachokifanyia taifa HAKUNA.

Mahakama zetu hazina haki, polisi ni majambazi. Sasa tukimbilie wapi? siwezi kuiunga CCM mkono kwa maslahi ya familia yangu au Baba yangu. Ni heri tuishi maisha ya zamani ya umasikini badala ya kuishi kama watumwa. Sitaki nife leo na kuwaacha wanangu watumwa kwenye nchi yao. siwezi kamwe. Sijui unao watoto, ila kama unao, hebu niambie nchi watakayoishi bada ya miaka 10 CCM ikizidi kukaa madarakani ni nchi ya aina gani. Ukiwa na uwezo na nia, sidhani hata CCM ikiondoka utakosa kazi, lakini ukiwa mchafu, lazima utayaona mabadiliko kuwa machungu. Sijui hupo upande gani, nijuzi dadangu.

Sijui wewe dada yangu au mdogo wangu ila hiyo haijalishi mimi ni (33) watoto wawili wakiume 7 na wakike 9 ambao naomba Mungu wakue na kusoma katika nchi yenye matumaini. Kwa sasa hata kama familia yangu ina uwezo wa kifedha, uwezo tulionao ni wa muda mfupi, kwani tumezungukwa na wengi masikini, kwa maana hiyo hakuna amani. Siwezi kuishi na kuitakasa CCM ni kuishi kitumwa. Na inaniuma sana kukuona kila mara ukishabikia CCM wakati unajua fika kwamba CCM inayumbisha nchi yetu. nilijifungua Aghakan, wewe sijui ulijifungua India lakini pia kumbuka mwanamke mwezio amejifungua kwenye sakafu Temeke.

Siyo mshabiki wa CHADEMA ila hata kama mabadiliko yataletwa na chama kingine, mara 100 afadhali kuliko kubaki kwenye utawala wa CCM. Sitazami maslahi yangu, natazama Maslahi ya watoto wangu na vitukuu vyao. Samahani sana lakini huo ndio ukweli wa mambo, nadhani kwenye utetezi wako wa CCM fikiria ukweli wa mambo. Ukiniita muhasi, basi waasi watakuwa wengi sana ndani ya CCM. Kama vipi mjadala uendelee....

Msisahau 15/11/2011 Hakuna kutumia Simu za TIGO..... Ni Wezi wanawanyonya walalahoi
Kwa kifupi umeongea mambo ya maana sana na ya msingi.
 
Hiyo ndio CCM tunaojivunia Tanzania, unakwenda unakopenda, ndio demokrasia, hata Mbowe babake na Mkwewe si walikuwa Serikalini?

Ngoja tumtafute waziri mchaga ni yupi kwa sasa tutamjuwa baba'ko.

Huoni aibu mmmh hata shetani anakushangaa damm it!!!
 
FF una kishindo,
unajibu kama vile uko kwa cameroon
kumbe upo hapa hapa unaganga njaa tz.
 
sidhani kama ni uamuzi mzuri kuondoka CCM.kwa mtazamo wangu nadhani mapambano mazuri ya kuwaondoa viongozi wasiofaa yataanzia ndani ya chama chenyewe hasa ktk mchakato wa kura za maoni.Ilipofikia CCM sasa hivi si rahisi kuachia madaraka kwa upinzani kwani wanajua kuwa viongozi wengi wataishia jela.

Nashauri vijana wengi wajiunge CCM mapema ili kuleta mabadiliko ndani ya chama sivyo utawala wa kurithishana ndani ya ccm utaendelea milele.

ndugu yangu umenshangaza!!!.... Hivi njia rahs, nzur na salama ya kuchota knyes toka ndan ya shmo n ipi?
1. Kuingia na ndoo ndan ya shmo au 2. Kuchota ukiwa nje?
 
FF hamna kitu kichwani achana nae atakuumiza kichwa tu mie namchukulia ni kalaza flani hv mganga njaa
 
Adam akamjua mkewe Eva, wakapata mtoto wa kiume wakamwita .................

Umeshaambiwa Mzee ana mke wake, sasa wewe unataka KUMJUA baba yake ili iweje?

Au kwa sababu umegundua baba yake ni Waziri na Probably Mchaga basi umeona uchangamkie ?

WANCHEKESHA weee...............
Hiyo ndio CCM tunaojivunia Tanzania, unakwenda unakopenda, ndio demokrasia, hata Mbowe babake na Mkwewe si walikuwa Serikalini?

Ngoja tumtafute waziri mchaga ni yupi kwa sasa tutamjuwa baba'ko.
 
Nani anaetaka Mapinduzi zaidi ya mapinduzi tunayoendelea nayo sasa? Unanchekesha!

Baba'ko kweli hausiki hilo sina shaka nalo, ila nnahisi ni mchaga. Au sio?

Be honest....FF, una chuki binafsi na waChagga? Mi unanikearaga lakini siishi kusoma posti zako, na mara chache itapita siku mbila kutaja 'mChagga', 'mKristo', na 'Chadema' mara kumi kumi...seriously, una tatizo na waChagga?! Kama ulitendwa na wanaume wa kiChagga sema tukuponeshe mpasuko wa moyo (waChagga are both prefessional heart breakers and heart menders)! Lakini ujue kuwa unaboa...unaboa big time. Address issues zinazosababisha chama chako (CCM) isakamwe, sio uChagga uChagga kila kukichwa kisa ulifanywa mbaya huko 'nyuma' na mChagga!
 
FF, ningeomba ujibu kwa hoja sio kubeza kama unavofanya!! Si unaona mwenzio katoa sababu zilizomfanya ang'atuke kwa magamba? Sasa na ww oppose kwa hoja,tetea msimamo wako!!
Utuambie kwamba tz kuna amani, demokrasia, maisha mazuri, huduma za uhakika kama umeme, maji, elimu bora, miundombinu ya barabara na reli, hospitali(japo mmewekeza India)!!
Natumaini busara zaidi na majibu ya msingi, alafu wenzio wako wapi mbona mmeulizwa wengi!!??
 
safi...

sasa napiga nyanga kidogo, halafu baadaye kwenye saa saba hivi naenda kulala.

Jumapili nina test jamani niombeeni.

niwatajie venue?


All the best.....ila nimependa sana hii Mimi kama Mtanganyika Najivunia Miaka 50 ya Uhuru kwa kumnyima kura Kikwete mara mbili mfululizo!! naona ntalala kwa amani.
 
All the best.....ila nimependa sana hii Mimi kama Mtanganyika Najivunia Miaka 50 ya Uhuru kwa kumnyima kura Kikwete mara mbili mfululizo!! naona ntalala kwa amani.

Ukiamka tafadhali nijuze ulivyolala. Sawa Mama Tuli? Msalimie Tuli.
 
Hiyo ndio CCM tunaojivunia Tanzania, unakwenda unakopenda, ndio demokrasia, hata Mbowe babake na Mkwewe si walikuwa Serikalini?

Ngoja tumtafute waziri mchaga ni yupi kwa sasa tutamjuwa baba'ko.

Is this all you can say?


Mara nyingine huwa najiuliza tunasomea wapi ujinga wa kumkubali mtu anayetutumikisha kwa maslahi yake. Kama tungetumia akili zetu angalau kidogo, uzalendo ungekuja wenyewe mioyoni mwetu kwani maslahi binafsi hayatupi amani, badala yake tunakuwa watumwa wa binadamu wenzetu.
 

Is this all you can say?


Mara nyingine huwa najiuliza tunasomea wapi ujinga wa kumkubali mtu anayetutumikisha kwa maslahi yake. Kama tungetumia akili zetu angalau kidogo, uzalendo ungekuja wenyewe mioyoni mwetu kwani maslahi binafsi hayatupi amani, badala yake tunakuwa watumwa wa binadamu wenzetu.

Uzalendo hutengenezwa hauji tu. Jifunze katika nchi zenye uzalendo uone walifikiaje hapo.

Nawashangaa sana manaoengelea uzalendo wakati kwa matamshi yenu inaonesha kuwa huo uzalendo wenyewe hamuujuwi ni nini.
 
All the best.....ila nimependa sana hii Mimi kama Mtanganyika Najivunia Miaka 50 ya Uhuru kwa kumnyima kura Kikwete mara mbili mfululizo!! naona ntalala kwa amani.

Amani uitowe wapi wakati kura zako hazikukusaidia kitu, ila zimemsaidia sana Kikwete kwa kuuonesha ulimwengu kuwa Tanzania kwa sasa kuna demokrasi ya kweli na hiyo inatokana na uongozi wa Kikwete.
 
kwa mtazamo wako usio wa kiungawana, unasema TZ tupo uhuru!! Kimatendoutawala wa CCM ni mbaya kuliko wakoloni. Nyie ,lio karibu na Lumumba mnazidi kufisadi mali za umma, wengi wetu tukizidi kulala hoi.

Tanzania hii kama unalala hoi ni mvivu wa kupita kiasi au hujafaidika na elimu ya bure iliyotolewa na Nyerere, lipi katika hilo ambalo unalo?
 
Duuh! masihara haya! vyovyote ovyo utakavyojitanaibisha lakini yakini imekukita moyoni na ninajua yakini hiyo itakutesa siku ikitanabahi.

kipi kikusikitishacho? hujayenda kuwa wacha ya yeye kuihama CCM hata hiyo chadema imeundwa na watu walioihama CCM. Huo ndio mfumo wa vyama vingi. Tatizo ni kuwa hata hivyo vyama vya upinzani vinakuwa na mfumo wa ki CCM = Mkapa.
 
Tanzania hii kama unalala hoi ni mvivu wa kupita kiasi au hujafaidika na elimu ya bure iliyotolewa na Nyerere, lipi katika hilo ambalo unalo?

kweli!!! tembelea rosana club! Tigo inapigiwa debe, tigo buku jero¤ tigo buku jero¤ tigo buku jero¤ voda nyongeza!
hata hiyo kazi hailipi, jaribu!
 
Karudi baba mmoja toka safari ya mbali kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili,......... roho naona yachinjwa kifo kinanikabili, kama mwataka kauli semeni niseme nini? jamani eee! ccm ipo hoi, hata kama ikichanjwa haiponi!
 
Back
Top Bottom