FaizaFoxy, Mwita25, MalariaSugu, Freedom Is coming... I am out of CCM

Kumjua babangu siyo shida. Babangu hausiki na maamuzi yangu, lakini wewe pia kama mzalendo na mama, ungeangalia hali halisi na kuchukua maamuzi magumu badala ya kufanya ushabiki. Maisha wanayoishi watanzania ni sawa na ya wanyama wa porini. Tungeshirkiana kuleta mapinduzi kuliko kumtafuta baba yangu hayatatusaidia. Jiulize ni nini utakachowaachia wanao....

Mwambie asome alama za nyakati sio kubaki kung'ang'ania madaraka
 
Unazijuwa lakini nchi ambazo hazina uhuru? au hujui maana ya Uhuru wewe?

kwa mtazamo wako usio wa kiungawana, unasema TZ tupo uhuru!! Kimatendoutawala wa CCM ni mbaya kuliko wakoloni. Nyie ,lio karibu na Lumumba mnazidi kufisadi mali za umma, wengi wetu tukizidi kulala hoi.
 
Sisi Wakristo tusema tusema amani Kristo iamue kwa wingi mioyoni

Je, vp baada yakuhama unajisikiaje
 
Umaskini wa Watanzania utoke wapi? ulale, ushinde kwenye mataputapu halafu ulalamike umaskini? umaskini ulikuwepo wakati wa Nyerere, wakati unahamishwa kwako kutupwa porini na watu usiowajuwa ndee wala sikio.

Mie JK nimeukuta Umasikini, nitaacha nchi ikiwa maskini!!! Nakubaliana na kauli hiyo toka mdomoni kwa Baba Rizwani, kila siku anazidi kuvutia wazungu kuja kuiba raslimali zetu na hiki chama cha CCM ni genge la wezi wa mali za umma pamoja na wewe!!
 
Asante.. Umenena hasa.

Most of us are CCM by "default", that is born by CCM parents, TANU grandparents... you see, it just happened.. We didn't decide.
The present situation is terrible.. but we are still singing "CCM CCM CCM..!!! ................. Why? I will tell you....

Fujo za wapinzani zinatutisha... Wengine, kwa ticket za UN, tumeshatembelea Congo, Somalia..

...Tafadhali waambie hao wapinzani wajaribu kutumia siasa zaidi kuliko kuchochea vurugu na ghasia..................

Nakuunga mkono saaana, na natumaini wakuu wa upinzani wamekupata mkuu kama mdau wao makini usiyeridhishwa na baadhi ya mambo yao; lakini wakibadilika natumaini utawa consider kama option nyingine kuongoza nchi
 
Hiyo ndio CCM tunaojivunia Tanzania, unakwenda unakopenda, ndio demokrasia, hata Mbowe babake na Mkwewe si walikuwa Serikalini?

Ngoja tumtafute waziri mchaga ni yupi kwa sasa tutamjuwa baba'ko.

Duuh! masihara haya! vyovyote ovyo utakavyojitanaibisha lakini yakini imekukita moyoni na ninajua yakini hiyo itakutesa siku ikitanabahi.
 
Hiyo ndio CCM tunaojivunia Tanzania, unakwenda unakopenda, ndio demokrasia, hata Mbowe babake na Mkwewe si walikuwa Serikalini?

Ngoja tumtafute waziri mchaga ni yupi kwa sasa tutamjuwa baba'ko.
vipi unataka umchongee kwa mkameroon?
 
Tafsiri yako ya sera na fujo ni ipi?

Nakubaliana nawe, ndugu yangu.

Tatizo kubwa, CCM na wapinzani wake, wapo busy kuonyeshana ubabe wenyewe kwa wenyewe. Wanatumia wananchi kama "tools" bila kujali maslahi yao.

Kwa hiyo akitokea Mpinzani mwenye akili, akawamwagia wananchi sera za kueleweka, na kuonyesha mifano hai ... I am sure wote tutavutika naye.
 
uhuru1, dada yangu mawazo yako ni mazuri na wako wengi wa aina yako waliolelewa vizuri ndani ya CCM lakini wanaona dhuluma iliyopo haina tija kabisa kwa taifa miaka ya mbeleni..lakini nina tatizo moja badala ya kukimbilia kujiunga na vyama vingine vya kisiasa na kuja kujuta baadae(naamini CDM ni wanamageuzi nje ya serikali ukiwapa madaraka hawatakua wanamageuzi tena ila watawala na lawama zitabaki pale pale mfano ni nchi nyingi za Kiafrica zlizoweka wapinzani madarakani walichofanya ni kutengeneza tabaka jipya la watawala na wakawa wagumu kuachia madaraka, mabadiliko yalikua hakuna au madogo sana tofauti na matumaini makubwa ya waliowapa kura.

Dada yangu, mzalendo mwenzangu nakushauri chukua fursa na haki yako kidemokrasia anzisha au jiunge na vyama vya kijamii-pressure groups kutokana na interests zako na simamia demokrasia na maendeleo ya kweli ukiwa huko. Hatuwezi kuweka matumaini yetu yote katika mikono ya wanasiasa na siasa hizi ziziso kua na mantiki wala kanuni.

Nafikiri unajua faida za civil society/pressure groups kwenye demokrasia yeyote ile......

kila la heri
 
Hiyo ndio CCM tunaojivunia Tanzania, unakwenda unakopenda, ndio demokrasia, hata Mbowe babake na Mkwewe si walikuwa Serikalini?

Ngoja tumtafute waziri mchaga ni yupi kwa sasa tutamjuwa baba'ko.
Nasikia Faiza Fox Una "Mbili". Hebu tuthibitishie.
 
Rais wa Mauzo, H.B, hata msibani anakenua , rais asiyejua kazi za Urais, Ni bonge la kilaza ambae asipoandaliwa hotuba kabla, anamwaga pumba na kucheka cheka tu. Atajivunia nn huyu jamaa baada ya 'urahisi' kuisha. KIKWETE REFLECTS A TRAGIC FAILURE OF LEADERSHIP OF THE OFFICE OF The PRESIDENT OF URT"
 
Hivi kuna ugumu upi hapo, huyo hata CCM yenyewe hana kadi ya uanachama, usifanye maskhara wewe, "eti" mtoto wa waziri, ndio nini? watu wameona mtoto wa Rais hayupo CCM na wala hawakustuka itakuwa waziri?
Unanchekesha!
[/QUOT
ubungo ulionao hivi sasa ni hatari kwa afya yako na sio ule aliokupa ALLAH,kwa kuwa umekubali kupenda mali kuliko kujithamini wewe mwenyewe ubongo wako umekuwa wa kishetani, uko tayari kujiuza ili mradi tu upate mali na kwa wanaume ndo hao wanaoshikiswa ukuta.nimeangalia hata sign yako na sura yako havifanani hata chembe na ubongo wako,kweli shetwani amekutembelea dada,ungekuwa kwetu huku tungekwambia njoo ufanyiwe maombi kwa jina la YESU KRISTO,huko kwenu bwana Inshalah Munyazi Mungu akufanyie TOWFIQ ili siku moja ubongo aliokuumba nao urejee tena kichwani mwako.
 
wewe waache,
watakapojikuta wenyewe nao watageuka kama wale walinzi wa gaddaf.
 
Umaskini wa Watanzania utoke wapi? ulale, ushinde kwenye mataputapu halafu ulalamike umaskini? umaskini ulikuwepo wakati wa Nyerere, wakati unahamishwa kwako kutupwa porini na watu usiowajuwa ndee wala sikio.

Acha ujinga wewe mwanamke..! Do u think wote walio maskini wanashinda vilabuni? Unawazungumzia watoto wa maskini tuliosoma kwa kushindia vipande vya mihogo na maji ya bomba la shule(tena binafsi nimesoma dar-mbuyuni primary pale).. Vipi waliosoma vijijini walisoma ktk mazingira gani.? Kuna graduates wengi wenye GPA kali kuliko yako mpaka leo wanahangaika mtaani.. Unafikiri sisi tunafurahi mnapopita barabarani na mikoko yenu? We are poor because of You FF and your relatives.. Better ukae kimya tusitafutiane BAN hapa...! Elimu haijakukomboa wewe.. Kusoma hujui hata picha? Nyambaf
 
Language... language... Hatuko vitani hapa.
Jamii Forums...."Home of Great Thinkers"... indeed..!
 
Back
Top Bottom