Faiza ally, Mbasha wavurugana.

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Ila na wewe Mbasha itakua kweli unabakwa, we mwanaume gani kila Siku unachambana na akina carrmastory mara faiza mmhm, wanaume hawanaga tabia hizo bwana , kuchamba tuchie sie akina warumi mxiee

Ngoja nianze kutafuta ma file yako kwanza, mwanaume huwez kuandika caption y taarabu tena kwa mwanamke lazima tu kuna sehem hauko Sawa hakyamungu, ngoja niingie mzigon nifukunyue habar zako, maana huwa nakuangaliaga tu sikuelewi elewi, yan mwanaume unachambana kuliko akina warumi
IMG_1539.JPG
IMG_1540.JPG
 
Ila na wewe Mbasha itakua kweli unabakwa, we mwanaume gani kila Siku unachambana na akina carrmastory mara faiza mmhm, wanaume hawanaga tabia hizo bwana , kuchamba tuchie sie akina warumi mxiee

Ngoja nianze kutafuta ma file yako kwanza, mwanaume huwez kuandika caption y taarabu tena kwa mwanamke lazima tu kuna sehem hauko Sawa hakyamungu, ngoja niingie mzigon nifukunyue habar zako, maana huwa nakuangaliaga tu sikuelewi elewi, yan mwanaume unachambana kuliko akina warumiView attachment 1153819View attachment 1153820
I hate men in women businesses.... Period!
 
Haya ndio maisha ya mtandaoni kwa jinsi utakavyoutumia, ukiamua kujijenga au kujibomoa ni wewe tu na nafsi yako.
 
In fact , hata mimi nakazia.. KIBIBI KIZEE KAMA KILE KUBAKIZA MAUNGO YAKE , NA KUYAFANYA KUA YA KIJAMII ...

UNA WATOTO, WANAKUA NA MWISHO WASIKU WAKUONEJE ?? UTAKAA KUA PICHA SIO ZAKO??

ET NAYE ATAKAPOKUA KIZEE ZAIDI, NAYE ATAANZA KUPIGA BITI WANAWE NA KUWAFUNDISHA???? Pooor..

Shida mnaiga sana Uzungu , uzungu umewakamata mnooo kiasi cha kusahahu kua nyie ni Mama zetu , nyie ndio wenye kuamua Jamii yetu iweje.

Mwanamke kua Smart pendeza, maisha safi basi.

KIUKWELI KABISA, BILA KUPEPESA MACHO, MWANAMKE ALIYEKOSA MUME NA KWA BAHAT MBAYA AKAKOSWA AIBU NA HOFU YA MUNGU, HUWA MARA NYINGI HAMNA SEHEM YA MWILI WAKE AMBAO MWANAUME/WANAUME HAWAIJUI.
 
Huwa nashangaa sana kuona mwanamke anatafuta mume wa kumuoa. Mwanamke akijitunza, akivaa vizuri, maongezi yenye adabu na kutulizana lazima apate mume lakini utakuta mwanamke yupo busy na mitandao ya kijamii, amepiga picha za nusu utupu , mtu akikuudhi kidogo unaporomosha matusi kama yote, unavaa kiajabu ajabu na wanaume unao kama wote. Unafikiri ni mwanaume gani mwenye lengo la ndoa atakufuata? Wanawake huwa wanachukulia ndoa ni kitu rahisi sana. Mbasha amesema kweli
 
Siku hawa wife material wamebakia wa kutafuta na tochi.

Wengi wao wamepigwa na pepo la Dunia linalowadanganya kubaki uchi+kutoa tigo ni kunamfanya Mwanaume amkubali.

Lkn sema nn... Nisababu pia ya ongezeko.la wanaume walao vinyonge.

Nisawa na madem wanaojichubua kisa kuvutia
 
Back
Top Bottom