Faiza Ally amfungukia mchumba mpya wa Sugu, adai anahonga mashemeji na mama mkwe

Status
Not open for further replies.

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,270
16,286

Faiza Ally Kamfungukia Mrembo anayesemekana ndio mchumba wa Mh Mr Sugu Kwa Sasa Anaitwa Happy...

Soma Hapa:
Simpati Kwa lipi huyo happy - makengeza? Au Kwa sababu Ana Fany kazi biuro Au Kwa sababu Na baba Sasha wamefanana sura ? Simpati Kwa sababu kila wiki anatuma Mbeya Samaki? Simpati Kwa sababu Ana mfupi mweusi mbaya Au simpati Kwa sababu Ana tumia nguvu Na hela KWENYE mapenzi ?

Au simpati Kwa sababu mweusi Ana vidole Kama tangawizi? Mkisema simpati mna maanisha nn hasa ? Au simpati Kwa sababu hazai ? Simpati kivipi labda tuwekane Sawa ! Siwaelewi ....? Nielewesheni? Au simpati Kwa sababu Ana honga mashemeji Na mama mkwe yaani kivipi sielewi?

Haha nyie mnao SEMA simpati naombeni majibu simpati kivipi ? Au simpati Kwa sababu amenuna gari kasema kanunuliwa ? Siwaelewi simpati kivipi ?
 
Ctak kumlaumu huy dada lkn inavoonekana alimpenda sana mwanaume wake, na toka waachane hajawahi pata mwingne km yeye na ndio maana anahangaika sana. Ukimfatiria post zake anaoneka bado anampnda sana ikitokea leo sugu akamrudia bidada yupo tayari.
 
Looking from another perspective this girl truly loves Sugu,..sijui walikosana nini but huyu mwanamke alipenda haswaa,if she ain't crazy she's not inlove..she's crazy for that man she's inlove, innocently...
Sadly watu inabd uwe kauzu uwaignore muda mwingine ili wajue hata bila wao you can move on, get another man akupunguzie mawazo ya huyu Sugu
 
1468925286942.jpg
 

Faiza Ally Kamfungukia Mrembo anayesemekana ndio mchumba wa Mh Mr Sugu Kwa Sasa Anaitwa Happy...
Soma Hapa:
Simpati Kwa lipi huyo happy - makengeza? Au Kwa sababu Ana Fany kazi biuro Au Kwa sababu Na baba Sasha wamefanana sura ? Simpati Kwa sababu kila wiki anatuma Mbeya Samaki? Simpati Kwa sababu Ana mfupi mweusi mbaya Au simpati Kwa sababu Ana tumia nguvu Na hela KWENYE mapenzi ? Au simpati Kwa sababu mweusi Ana vidole Kama tangawizi? Mkisema simpati mna maanisha nn hasa ? Au simpati Kwa sababu hazai ? Simpati kivipi labda tuwekane Sawa ! Siwaelewi ....? Nielewesheni? Au simpati Kwa sababu Ana honga mashemeji Na mama mkwe yaani kivipi sielewi? Haha nyie mnao SEMA simpati naombeni majibu simpati kivipi ? Au simpati Kwa sababu amenuna gari kasema kanunuliwa ? Siwaelewi simpati kivipi ?
Unataka mume au Mimi nipooo njoo PM
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom