Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,793
- 3,548
Eti wadau mi sielewi sijui Faisal anatuchukuliaje wenzake. Km aliweza kulipa zaida ya mil 100 ili avunje mkataba wake sasa anakosaje mil.50? Hii taarifa ni changanya bwege.Wale wale waliompa ile mil.110 ndo hao hao wanaenda kumlipia CAS. Hii ya kuomba kuchangiwa ni kichaka cha kuonekana Watanzania tumemchangia ila mzigo wote tayari anao. Sisi tuliosoma Cuba tushaelewa.