Fair Play ya Kitandani...

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
443
18
Wadau, ikiwa katika mpira wa miguu kila mechi inapoisha huwa kuna kubadilishana jezi kuonesha "FAIR PLAY".... Je, kama kungekuwa na fair play ya kubadilishana chupi mara baada ya tendo la ndoa ungekuwa na chupi ngapi?

Feel free to answer...
 
Ingewekwa pale kwenye forum ya mapenzi na mahusiano ingekuwa imekaa mahali pake zaidi.
 
Idadi ni ile ile ulizo nazo, kwa sababu wewe unachukua na hapo hapo unatoa yako, unless uniambie kwamba mmoja wenu hakuja na "jezi" kabisa, hapo mwenye jezi ataloose bila kugain
 
Hii haijatulia hata kidogo jamani, samahani lakini ila naona kama utani fulani hivi. Ni mtizamo tuu!
 
Naona alikuwa anamaanishamechi za mchangani. Zile za Old Trafford kunakuwa hakuna jezi.

Tatizo ni kwamba jezi inabidi urudi nayo home kama ukumbusho, sasa mkibadilishana unasemaje ukifika old traford? kwamba ulikuwa lets say corinthians kwa mkopo?
 
wadau toka utotoni duh bt i thnk tuanzie miaka 18 maana zile gemu za utoton twacheza kibababa na kimamama au tuziesabu nazo itakuwa baraha maana ilikuwa mkijificha tuu mamboz yanaanza
 
Wadau, ikiwa katika mpira wa miguu kila mechi inapoisha huwa kuna kubadilishana jezi kuonesha "FAIR PLAY".... Je, kama kungekuwa na fair play ya kubadilishana chupi mara baada ya tendo la ndoa ungekuwa na chupi ngapi?

Feel free to answer...
Unategemea, mwenye mechi kama 800 hivi atasema? hapa naona hakuna fair play ya kujibu.
 
wadau toka utotoni duh bt i thnk tuanzie miaka 18 maana zile gemu za utoton twacheza kibababa na kimamama au tuziesabu nazo itakuwa baraha maana ilikuwa mkijificha tuu mamboz yanaanza

Uncle kamwene! Utoto hapa bongo unaishia miaka mingapi?
 
wadau toka utotoni duh bt i thnk tuanzie miaka 18 maana zile gemu za utoton twacheza kibababa na kimamama au tuziesabu nazo itakuwa baraha maana ilikuwa mkijificha tuu mamboz yanaanza
hata watoto si huvaaga chuxxxx? we hata kama Mlianza wakati mmevaa nepi poa tu peleka hesabu kwa mpogole.
 
Wadau, ikiwa katika mpira wa miguu kila mechi inapoisha huwa kuna kubadilishana jezi kuonesha "FAIR PLAY".... Je, kama kungekuwa na fair play ya kubadilishana chupi mara baada ya tendo la ndoa ungekuwa na chupi ngapi?

Feel free to answer...

Kwani hiyo mechi inachezwa na jezi... au ndo zile za kuchupichupi?:confused:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom