Faini ya Tsh.1 kesi ya Mengi Vs Manji, je, ni dharau na kupoteza muda wa mahakama?

Status
Not open for further replies.
Mods naomba munisaidie ku edit title, ianze na neno Fidia ya Tsh.1 Kesi ya Mengi Vs Manji, je, si dharau pamoja na kupoteza muda wa mahakama?

Asanteni.

Heading bado haileti maana uliyokusudia.
 
naona kama hamjajua umuhimu wa hii kesi,...mengi alisema manji ni fisadi papa,.maana yake mengi akishinda kesi,basi manji ni fisadi kweli lakini akishinda manji maana yake sio fisadi papa...lakini mahakamani anything is possible depending the competence of your lawyer,..inawezekana fisadi akatangazwa sio fisadi au mengi akaonekana ni husda zake za kibiashara...the law is blind..andha kanoon
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom