Fainali ya UEFA katika ya Chelsea vs Manchester City kubadilishwa kiwanja cha kuchezea

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
44,106
187,863
Habari.

Huku tukiendelea kusubiri fainali ya UEFA Champions itakayofanyika May 29 mwaka huu kati ya Chelsea Vs Manchester City.

Kuna mabadiliko ya kiwanja cha mtanange huo itakuwa jiji Porto na si mjini Instanbul tena.

Huku sababu kubwa ya mabadiliko hayo ni maambuzi ya Corona Virus 19 ambayo kwa muda yamekuwa yakiendelea katika miji ya Uturuki.

Hivyo UEFA kutazama tena uwanja huko ureno wa Estadio do Dragao kufanyika fainali za UEFA.

Haya tuendelee kusubiri kandanda la wahasimu hao kutoka uingereza tarehe hiyo usiku.

Nawasilisha Mzee Mkoloni

Cc: Kichwa Kichafu
 
Mzee wa kuhama timu utakua upande gani kwenye hii fainali?
 
Kuna mabadiliko ya kiwanja cha mtanange huo itakuwa jiji Porto na si mjini Instanbul tena.
Kanuni zimefuatwa au ni maagizo tu? Tutagoma kupeleka timu kwenye kiwanja kingin, sisi tutapeleka timu huko huko Instanbul
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom