Fainali ipi ya 'UEFA Champions League' ilikuvutia kwa miaka 10 iliyopita?

Drogba anapiga header dakika ya 80 na kupiga mkuki wa mwisho na kumzamisha mnyama na kunyenyua kwapa, nikiwa maeneo ya Ngara. What a final

Siku hiyo nilikuwa na pressure balaa,ilibidi nizime TV zile dakika za mwisho,nilikosa kabisa ujasiri wa kuhimili zile dk za mwisho kutizama.Chelsea fans acha tule bata tu kwakweli
 
Fainali zote za real mimi kama shabiki wa les merengues zilikuwa nouma sana
 
Back
Top Bottom