Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Hahahaha.....! Miaka mitatu?
Nakunukuu , umesema umefanya research ila iwe kweli au si kweli huoni tatizo, hapa tayari kuna wasiwasi katika majibu yako
1. Hujasema katika research yako umepata majibu gani
2. Kusema huoni tatizo ina maana hujui kama ni kweli au si kweli na hata kama ni kweli basi huoni tatizo,,,

Kuna mahala pia umesema kuna mtu alioa mtoto wa miaka 3,, kwa nukuu hizi naomba nijibu swali langu ulilo quote kwa hii reply

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msemaji wa hayo maneno nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Qur'an 36:
1_0.gif

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

36_1.gif

1. Ya-Sin (Y.S.). 1

36_2.gif

2. Kwa Haki ya Qur'ani yenye hikima! 2

36_3.gif

3. Hakika wewe ni miongoni mwa walio tumwa, 3

36_4.gif

4. Juu ya Njia Iliyo Nyooka. 4

36_5.gif

5. Uteremsho wa Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu. 5

36_6.gif

6. Ili uwaonye watu ambao baba zao hawakuonywa , basi wao wamekuwa wenye kughafilika.6

36_7.gif

7. Bila ya shaka kauli imekwisha thibiti juu ya wengi katika wao, kwa hivyo hawaamini.7

36_8.gif

8. Tumeweka makongwa shingoni mwao, yakawafika videvuni. Kwa hivyo vichwa vyao viko juu tu. 8

36_9.gif

9. Tumeweka kizuizi mbele yao, na kizuizi nyuma yao, na tumewafunika macho yao; kwa hivyo hawaoni. 9

36_10.gif

10. Ni sawa sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawataamini. 10

36_11.gif

11. Hakika wewe unamwonya mwenye kufuata ukumbusho, na akamcha Arrahman, Mwingi wa Rehema, kwa ghaibu. Basi mbashirie huyo msamaha na ujira mwema. 11
 
Nye nye nye nyenyeeee......!

Jibu swali uliloulizwa acha mbwembwe nyingi za Amina ndala ndefu wa magomen mapipa

Sent using Jamii Forums mobile app
h
Sikushangai nyie ndiyo wale tuliokumbushwa kwenye Qur'an 36:
36_9.gif

9. Tumeweka kizuizi mbele yao, na kizuizi nyuma yao, na tumewafunika macho yao; kwa hivyo hawaoni. 9

36_10.gif

10. Ni sawa sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawataamini. 10
 
hayo mashairi matamu matamu uliyo weka msemaji nani? Mbona kunijibu bibie!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Qur'an 36:
36_69.gif

69. Wala hatukumfundisha (Muhammad) mashairi, wala hayatakikani kwake hayo. Haukuwa huu ila ni ukumbusho na Qur'ani inayo bainisha. 69

36_70.gif

70. Ili imwonye aliye hai, na neno litimie juu ya makafiri.
 
Nimeona!¡ sawa sio mashairi! Hayo Maandiko, Msemaji nani?!

Sent using Jamii Forums mobile app

Qur'an 6:
6_19.gif

19. Sema: Kitu gani ushahidi wake mkubwa kabisa? Sema: Mwenyezi Mungu. Yeye ndiye shahidi baina yangu na nyinyi. Na nimefunuliwa Qur'ani hii ili kwayo nikuonyeni nyinyi na kila inayo mfikia. Ati kweli nyinyi mnashuhudia kuwa pamoja na Mwenyezi Mungu wapo miungu wengine? Sema: Mimi sishuhudii hayo. Sema: Hakika Yeye ni Mungu mmoja tu, nami ni mbali na mnao washirikisha. 19
 
Unazidi kunishushia maandiko! Kuna ugumu gani kuniambia, Hayo maandiko ni KAULI YA...Mimi mgen naona ni Maandiko yaliyi andikwa kwenye vipande vya karatasi tu! HAYO MAANDIKO NI KAULI YA NANI??

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikushangai...

Qur'an 17:
17_46.gif

46. Na tunaweka vifuniko juu ya nyoyo zao wasije wakaifahamu, na tunaweka kwenye masikio yao uziwi. Na unapo mtaja katika Qur'ani Mola wako Mlezi peke yake, basi wao hugeuka nyuma wakenda zao.46
 
Huna jibu??? Hayo maandiko Anasema tumeweka vifuniko juu ya nyoyo zao wasije wakaifahamu! Na uziwi...Ni Kauli ya Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Qur'an 10:
10_15.gif

15. Na wanapo somewa Aya zetu zilizo wazi, wale wasio taraji kukutana na Sisi husema: Lete Qur'ani isiyo kuwa hii, au ibadilishe. Sema: Hainifalii mimi kuibadilisha kwa nitakavyo nafsi yangu. Mimi sifuati ila ninayo funuliwa kwa Wahyi. Hakika mimi naogopa, nikimuasi Mola wangu Mlezi, adhabu ya Siku iliyo kuu.15
 
103 Reactions
Reply
Back
Top Bottom