Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Danh miaka 6 si mtoto wa vidudu huyo,, all in all asante kwa jibu mkuu ila umekosea kuniita Sheikh, mimi si muislamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ninacho shangaa sijamuo mbwa au nguruwe dume anamuwakia tamaa na kumuingilia mtoto nguruwe au mtoto mbwa! Leo wenzetu jambo la kuingiliwa aishà wanalihalalisha?! Kweli kabisa dhamira zao NJEMA alizo waumbia Mwenyezi zimekufa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaa! kumbe allah ni tofauti na Mwenyezi Mungu, em nijuze vizuri mkuu
Sanñà Mkuu! Ukiisoma kwa Tafakuri hiyo ayat allah ndipo kajifunua kabisa yeye SIE MUNGU ANAEPASWA KUABUDIWA KWA HAQI! allah hapo anasema MWENYEZI MUNGU, MALAIKA GABRIEL, YESU, NA WAKRISTO WOOTE DUNIANI WANAKUFURU HIVYO NI MAKAFIRI! allah anasema kusema YESU NI MWANA WA MUNGU WAKRISTO wanawaiga waluokufuru/makafir wa kabla YETU! Kabla YETU WAKRISTO aliyeanza kusema YESU NI MWANA WA MUNGU! NI MWENYEZI MWENYEWE ALIYE SEMA YESU NI MWANAE! MWINGINE NI MALAIKA GARIEL ALIPO MPA TAARIFA MARIA KUHUSU KUZALIWA KWA YESU! NA YESU MWENYEWE AMESEMA MUNGU NI BABA YAKE! Kwa mujibu wa Kauli ya allah hao woote wanakufuru/makafir...Habari ndio hiyo!

ASANTE SANA MKUU NIMEKUELEWA VIZURI SANA.
 
Ngoja nipate majibu!.1- jee muhammad anaijua Ilimu ghaibu!? Nani alimpa Utume muhammad!? Asante bibie!

Sent using Jamii Forums mobile app

Qur'an 7:
7_188.gif

188. Sema: Siimilikii nafsi yangu manufaa wala madhara, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Na lau kuwa ninayajua ya ghaibu ninge jizidishia mema mengi, wala ovu lisinge nigusa. Mimi si chochote ila ni mwonyaji na mbashiri kwa watu wanao amini.188
 
Asante bibie! Kumbe maovu yamemkuta kwa sababu alikuwa hajui ilimu ya Mbinguni!

Sent using Jamii Forums mobile app

Qur'an 2:
2_255.gif

255. Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu.
255
 
Msemaji wa maneno hayo nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Alif Lam Mim. 1

2_2.gif

2. Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, 2

2_3.gif

3. Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa.3

2_4.gif

4. Na ambao wanayaamini yaliyo teremshwa kwako, na yaliyo teremshwa kabla yako; na Akhera wana yakini nayo. 4

2_5.gif

5. Hao wapo juu ya uwongofu utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio walio fanikiwa. 5

2_6.gif

6. Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini. 6

2_7.gif

7. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. 7

2_8.gif

8. Na katika watu, wako wasemao: Tumemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, wala wao si wenye kuamini. 8

2_9.gif

9. Wanatafuta kumdanganya Mwenyezi Mungu na wale walio amini, lakini hawadanganyi ila nafsi zao; nao hawatambui. 9

2_10.gif

10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. 10
 
Back
Top Bottom