Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kwa nini waislamu mkaamua kuwanyanyapaa wanawake wenye hedhi? Kwani wao kosa lao ni nini haswa mpaka wasiruhusiwe kufanya sawa ya jumla kama watu wengine?. Na pia mbona mkisali mnawaweka nyuma?? Au ndio hivyo tena mnaogopa kuu face mzigo
Hakuna unyanyapaa bali ndio utaratibu wa ibada usiromokwe
 
Kwa nini waislamu mkaamua kuwanyanyapaa wanawake wenye hedhi? Kwani wao kosa lao ni nini haswa mpaka wasiruhusiwe kufanya sawa ya jumla kama watu wengine?. Na pia mbona mkisali mnawaweka nyuma?? Au ndio hivyo tena mnaogopa kuu face mzigo


Si kweli kabisa.

Hakuna mahala mwanamke wa Kiislam ananyanyaswa katika Uislam iwe kwenye hedhi au isiwe.

Hayo ni maneno yako.

Soma Ukristo unavyomnyanyasa na kumyanyapaa mwanamke:

"Speak unto the children of Israel, saying, If a woman have conceived seed, and born a MALE child: then she shall be unclean SEVEN DAYS; according to the days of the separation for her infirmity shall she be unclean. And in the eighth day the flesh of his foreskin shall be circumcised. And she shall then continue in the blood of her purifying THIRTY THREE days; she shall touch no hallowed thing, nor come into the sanctuary, until the days of her purifying be fulfilled. But if she bear a FEMALE child, then she shall be unclean TWO WEEKS, as in her separation: and she shall continue in the blood of her purifying SIXTY SIX days. (From the NIV Bible, Leviticus 12:2-5)"

"And if a woman have an issue (her period/menses), [and] her issue in her flesh be blood, she shall be put apart seven days: and whosoever toucheth her shall be unclean until the even. And every thing that she lieth upon in her separation shall be unclean: every thing also that she sitteth upon shall be unclean. And whosoever toucheth her bed shall wash his clothes, and bathe [himself] in water, and be unclean until the even. And whosoever toucheth any thing that she sat upon shall wash his clothes, and bathe [himself] in water, and be unclean until the even. And if it [be] on [her] bed, or on any thing whereon she sitteth, when he toucheth it, he shall be unclean until the even. And if any man lie with her at all, and her flowers be upon him, he shall be unclean seven days; and all the bed whereon he lieth shall be unclean. And if a woman have an issue of her blood many days out of the time of her separation, or if it run beyond the time of her separation; all the days of the issue of her uncleanness shall be as the days of her separation: she [shall be] unclean. Every bed whereon she lieth all the days of her issue shall be unto her as the bed of her separation: and whatsoever she sitteth upon shall be unclean, as the uncleanness of her separation. And whosoever toucheth those things shall be unclean, and shall wash his clothes, and bathe [himself] in water, and be unclean until the even. But if she be cleansed of her issue, then she shall number to herself seven days, and after that she shall be clean. And on the eighth day she shall take unto her two turtles, or two young pigeons, and bring them unto the priest, to the door of the tabernacle of the congregation. And the priest shall offer the one [for] a sin offering, and the other [for] a burnt offering; and the priest shall make an atonement for her before the LORD for the issue of her uncleanness. (From the King James Version Bible, Leviticus 15:19-30)"

Women become unclean when they are having their menses which is normal, but everything they touch also becomes unclean. The husbands are ordered to stay away from their "unclean" wives until the wives become clean. Even objects like the bed or the chairs or anything else that the "unclean" wives come in contact with become unclean. The Bible treats the women who are having their menses as a disease that men must stay away from.

I still don't understand from a physiological point of view how giving birth to females caused double the pollution than giving birth to males?

Soma zaidi: How do Islam and the Bible treat women who are having their menses?
 
General Knowledge.

Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.

Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.

Hapa ni kwa ajili ya kuelimishana na kujuzana bila kikomo, iwe swali lolote liwalo.

Update 1:
Tafadhalini tuulize maswali kiheshima . Heshima ni kitu cha bure na hii JF yetu pendwa inasomwa na wengi, tujiheshimu.

Update 2:
Siku kadhaa zimepita toka tuanzishe uzi huu na nimesikitishwa na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye huu uzi.

Tumetowa fursa ya kuulizana na kila niwezapo kujibu au kutafuta majibu muafaka kutokana na hayo maswali na fursa ya wachangiaji kujibu maswali yatakayojitokeza ya "general knowledge" lakini hadi hii leo ni maswali machache sana yenye faida kwa wengi yameulizwa. Maswali yaliyojaa ni amma ya kutaka kuanzisha ubishi "ligi" na amma yamelenga mtu binafsi, hususan amelengwa mleta mada. Ni masikitiko makubwa sana.

Nnawashauri wote waliouliza maswali yenye kulenga binafsi na wale waliouliza maswali yenye kubomoa badala ya kujenga wabadilike na waanze kuuliza maswali yenye kujenga, kuelimisha, kutujaza hekima na maarifa.

Nilipoweka aina ya elimu niliyoisomea nilidhani ntakumbana na kibano kikali kuhusu hilo na nijibu ili iwe faida kwa wengi lakini kwa bahati mbaya au nzuri hakuna hata mmoja aliyeuliza swali lolote kuhusu hilo.

Isitoshe, mna fursa ya kuuliza kuhusu chochote. Ndege, mimea, dunia, sayari, nyota, maajabu, maswali yasiyokuwa na majibu, viumbe kwa ujumla vinavyojulikana na visivyojulikana, maajabu ya duniani, elimu na vitu vingi kama hivyo na vinginevyo.

Nnauhakika wale walioleta maswali ya kiajabu ajabu ya ubishi wana mengi sana ya kuuliza yanayoweza kuwapa faida wengi na kuna wengi kati yao wana mengi wanayajuwa na wanaweza kuchangia kwenye majibu kwa faida ya wengi.

Ombi langu kwa wote ni tuboreshe aina ya maswali na majibu.

Karibuni.
Je ni kweli RC Makonda anacheti feki?
 
Nipe maana ya maneno yafuatayo 1.Maji 2. Chakula 3. Sahani 5. Mbinja. Jibu alaf tuendelee na darasa huru la faiza foxy


1. Maji

- Maji / woreda ni mji uliopo Kusini Magharibi ya Ethiopia.

- Maji, kijiji kimoja cha huko Iran

- Maji, jina la ukoo huko India.

- Maji, lugha ya Kiomo huko Ethiopia pia inajulikana kama lugha ya Dizin.

Pia kama ujuavyo kwa Kiswahili inamaanisha nini.

2. Chakula

- Chakula ni kile kinacholiwa na watu kwa kudumisha maisha yao. Mwili unahitaji virutubishi, nishati na maji. Haya yote hupatikana katika chakula.

Soma zaidi: Chakula - Wikipedia, kamusi elezo huru

- Kijana ambae si riziki.

3. Sahani

- Ni neno llililotokana na Kiarabu "sahan" likimaanisha cha kuandalia chakula.

- Jina la ukoo la India, maarufu mwenye jina hilo , Kidar Nat Sahani - Aliyewahi kuwa Gavana wa jimbo la Sikkim na Goa huko India.


Mengine ntaendelea baadae.
 
1. Maji

- Maji / woreda ni mji uliopo Kusini Magharibi ya Ethiopia.

- Maji, kijiji kimoja cha huko Iran

- Maji, jina la ukoo huko India.

- Maji, lugha ya Kioma huko Ethiopia pi inajulikana ka lugha ya Dizin.

Pia kama ujuavyo kwa Kiswahili inamaanisha nini.

2. Chakula

- Chakula ni kile kinacholiwa na watu kwa kudumisha maisha yao. Mwili unahitaji virutubishi, nishati na maji. Haya yote hupatikana katika chakula.

Soma zaidi: Chakula - Wikipedia, kamusi elezo huru

- Kijana ambae si riziki.

3. Sahani

- Ni neno llililotokana na Kiarab "sahan" likimaanisha cha kuandalia chakula.

- Jina la ukoo la India, maarufu mwenye jina hilo , Kidar Nat Sahani - Aliyewahi kuwa Gavana wa jimbo la Sikkim na Goa huko India.


Mengine ntaendelea baadae.
Naweza kukusaidia kuwapa majibu??
 
Haya madai kwamba Mwislamu akifa katika kuupigania Uislamu (mf. Kwa kujitoa mhanga maisha yake) anakwenda akhera na anakabidhiwa mabikra 72 wasiomaliza ubikra na kuwafaidi milele na milele ni ya kweli na yana misingi yo yote katika Uislamu au ni porojo tu za makundi haya ya kigaidi yanayotumia Uislamu kama mwamvuli wake? Madai haya yamo katika Quran tukufu au katika hadithi za Mtume?
Yeah. Swali langu hili halikujibiwa mpaka leo. Mwenye jibu tafadhali. Napenda sana kujua jibu lake sahihi.
 
Naomba kuuliza.
Kwa mujibu wa Qur'an Tukufu, ni haramu kwa Waislamu kunywa pombe hapa duniani.
Je,
1. Ni kweli kuwa Waislamu watakunywa mnvinyo kule paradisoni baada ya maisha ya hapa duniani?
2. Ni kweli kuwa kule itakuwepo mito ya pombe/mnvinyo iki flow kwa wingi?
3. Ikiwa ni kweli, kwanini basi iwe 'mnvinyo' na si juisi au soft drinks?
 
Haya madai kwamba Mwislamu akifa katika kuupigania Uislamu (mf. Kwa kujitoa mhanga maisha yake) anakwenda akhera na anakabidhiwa mabikra 72 wasiomaliza ubikra na kuwafaidi milele na milele ni ya kweli na yana misingi yo yote katika Uislamu au ni porojo tu za makundi haya ya kigaidi yanayotumia Uislamu kama mwamvuli wake? Madai haya yamo katika Quran tukufu au katika hadithi za Mtume?

Ungeweka source ya ulipoyakuta hayo.
 
Kwa nini waislamu mkaamua kuwanyanyapaa wanawake wenye hedhi? Kwani wao kosa lao ni nini haswa mpaka wasiruhusiwe kufanya sawa ya jumla kama watu wengine?. Na pia mbona mkisali mnawaweka nyuma?? Au ndio hivyo tena mnaogopa kuu face mzigo
Sio waislamu walioamua hivyo unavyoona kunyanyapaliwa wanawake bali ni sheria aliyoileta Allah mwenyewe muumba wa hao wanawake.

Hawakufanya kosa lolote na kutoruhusika kwao ktk swala, funga na twawaf ni kupinguziwa majukumu hivyo sio adhabu kama unavyo fikiri.
 
Back
Top Bottom